Simba SC Yazindua Mascot Msimu 2021/22.

 

Klabu ya Simba SC imezindua Mascot wake kwa ajili ya kuleta hamasa kuelekea siku ya Simba Day 2021 na michezo ya ligi kuu na klabu bingwa kuanzia msimu huu.

 

Baada ya Azam FC 🇹🇿 kutumia Mascot katika siku yao maarufu kama Azam Festival (2020), Simba SC imekuwa timu ya pili kutumia Mascot katika siku ya Simba Day 2021.

Simba SC imefika mbali baada ya kuthibitisha kuwa Mascot wao atatumika msimu mzima wakianza na siku yao Jumapili hii.

Mascot ni maarufu sana katika nchi za Ulaya kwani klabu kama Manchester United na Arsenal ni miongoni kati ya timu zinazo tumia Mascot kwa ajili ya hamasa viwanjani.

Miongoni mwa Mascot hao ni Comedian Jaymondy.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.