Mikel Arteta Tuna mazungumzo na Jack Wilshere

Mkufunzi wa timu ya Arsenal Mikel Arteta amethibitisha kuwa anafanya mazungumzo na kiungo Jack Wilshere ili aweze kurudi tena kukipiga kwa miamba hiyo ya London.

Wilshere aliyesajiliwa mwaka 2007 akitokea katika akademi ya Luton Town alitumia miaka 11 na miamba hiyo ya London huku akicheza mechi 211.

mikel arteta na jack wilshere
mikel arteta na jack wilshere

Mikel Arteta ambaye amecheza na Jack Wilshere kuanzia mwaka 2011 hadi mwaka 2016. Alinukuliwa akisema ” alisisitiza kuwa Jack anakaribishwa kufanya mazoezi na sisi huku akiwa anatafuta timu ya kujiunga nayo.”

“Tulifanya mazungumzo na Jack kujua anataka nini, “na anatafuta nini, “nimchezaji mwenye mapenzi ya kuwa hapa nakila mtu anamfurahia  hapa tunaangalia uwezekano wa kumsaidia kadri tuwezavyo.”

kwa sasa Jack anafanya mazoezi na timu ya Arsenal tokea aachane na timu Bournemouth.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.