Makocha wa zamani wa Yanga SC, Cedric Kaze na Mwinyi Zahera wamerejea katika kikosi cha timu ya Wananchi lakini kwa sasa wakiwa na majukumu tofauti.

Kaze aliyekinoa kikosi cha Yanga SC katika msimu ulipita amekuja kuchukua nafasi ya kocha Msaidizi ambayo ilikuwa wazi kumsaidia kocha Nabi .
Aidha ametambulishwa kocha Mwinyi Zahera ambeye anakuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya soka la Vijana ndani ya klabu hiyo.

“Tumewarejesha tukiamini kwamba makocha hawa [Kaze na Zahera]wanamsaada mkubwa kwa klabu, wote wanaifahamu Yanga na wote tutakao nao kwa kipindi hiki ambacho tunaijenga upya timu yetu,” amesema Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli.
Ni wakati wa ushindi mkubwa ukiwa na kasino bomba ya Lock a Luck, meridianbet wanakupa sababu ya ushindi, funga bahati yako ya ushindi ukiwa na mabingwa.



Sania+mapua
Nyumbani kumenoga