Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Barcelona wanamsaka mshambuliaji wa Chelsea Mjerumani Timo Werner, 25, na watarajiribu kumsajili kwa mkopo mwezi Januari.

Manchester City itakataa jaribio lolote kutoka Barcelona la kumsajili Raheem Sterling, 26, mwezi Januari. Barcelona wamekua wakihusishwa na mshambuliaji huyo wa England.

City wanajiandaa kuijaribu tena Tottenham mwezi Januari kwa kupeleka ndoano kwa ajili ya mshambuliaji wa England Harry Kane baada ya kushindwa kumsajili nyota huyo mwenye miaka 28 katika majira ya joto.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Meneja wa England Gareth Southgate anakaribia kuongeza mkataba mpya wenye thamani ya £5m kwa mwaka, utakaomfanya muingereza huyo mwenye miaka 51 kuiongoza “Three Lions” mpaka mwisho mwa mashindano ya Euro 2024.

Tetesi zinasema, Winga wa Chelsea, Mmorocco Hakim Ziyech, 28, anaweza kujiunga na Borussia Dortmund mwezi Januari, ikiwa ni miezi 18 tangu ajiunge na Blues akitokea Ajax kwa ada ya £33m.

Tetesi zinasema, Sevilla inapambana kumbakisha mlinzi wake mfaransa Jules Kounde, 23, mpaka majira yajayo ya kiangazi licha ya kusakwa na Manchester United.

Tottenham inamtaka mshambuliaji wa Club Bruges mbelgiji Charles de Ketelaere lakini inakabiliwa na ushindani kutoka kwa AC Milan kwa ajili ya kinda huyo mwenye miaka 20.

Tetesi zinasema, Winga wa Wolves mhispania Adama Traore, 25, anasakwa na kalbu ya Valencia.

 

Leeds Yamtaka Traore Elland Road.

Dean Smith, aliyetimuliwa na Aston Villa jumapili iliyopita, anatarajiwa kurejea haraka kufundisha baada ya Norwich City kushindwana Frank Lampard.

Mlinda mlango wa England Dean Henderson, 24, anatarajiwa kuondoka Manchester United baada ya kushindwa kuwa kipa namba moja dhidi ya David de Gea. Henderson ameanza mchezo mmoja tu msimu huu.

Paulo Fonseca hajakata tamaa na ndoto yake ya kufundisha ligi kuu England licha ya mreno huyo mwenye miaka 48 kukosa kazi Tottenham na Newcastle.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.