Donnarumma : Siumizwi ila Sijazoea Hali Hii.

 

Kipa namba mbili wa Klabu ya Paris Saint-Germain, Gianluigi Donnarumma ameweka wazi kwamba hajazoea hali ya kushindania namba na mchezaji mwingine.

 

Donnarumma alijiunga na PSG akitokea AC Milan kama mchezaji huru baada ya mkataba wake na klabu hiyo kumalizika mwishoni mwa mwaka 2020/2021 na kuamua kutafuta changamoto mpya.

Kipa huyo ameshindwa kuchukua namba ya sasa ya Keylor Navas ambaye amekuwa kipa namba moja wa PSG tangu ajiunge na miamba hiyo ya Ufaransa akitokea Real Madrid.

“Haiathiri kiwango changu, lakini inanisumbua,” Donnarumma aliiambia TNT Sport katika mahojiano kuhusu upinzani wa namba dhidi ya Navas.

“Sio rahisi, kwasababu siku zote nimezoea kuwa namba moja na muda mwingine inauma kukaa benchi.

“Lakini na hakika jambo hili litamalizwa.” aliongeza.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.