UEFA Yatupilia Mbali Mchezo wa Tottenham vs Rennes.

 

UEFA imethibitisha kwamba hakutakuwa na mchezo wa marudio baada mchezo wa Europa Conference League baina ya Tottenham na Rennes kuhairishwa siku ya Alhamisi.

 

Tottenham walitangaza siku ya Jumatano kwamba mchezo wa Alhamisi umehairishwa baada ya wachezaji 8 na watu katika benchi la ufundi 5 kupata maambukizi ya virusi vya Corona.

UEFA ilikuwa katika mazungumzo na vilabu vyote juu ya tarehe mpya ya mchezo lakini baadae wakasema “wameshindwa kupata utatuzi utakaoweza kukidhi kwa vilabu vyote” na maamuzi yatafanywa na Chombo cha Udhibiti wa Maadili na Nidhamu cha UEFA.

Taarifa kutoka kwa wachambuzi wengi wa mchezo wa soka na waandishi wa habari za michezo wanasema Chombo hicho cha UEFA inaweza ikawaadhibu Tottenham, kwa kuwapa Rennes alama 3 na magoli 3.


AGENT JANE BLONDE AMEREJEA MSIMU WA SIKUKUU.

Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.