Uchambuzi, Vikosi na Odds: Liverpool vs Aston Villa

Liverpool wanawaalika Aston Villa katika dimba la Anfield mchezo wa wiki ya 16 katika Premier League. The Reds wanakuja kwenye mchezo huu wakiwa wametoka kupata ushindi wa 2-1 na kuwatoa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa AC Milan.

Uchambuzi, Vikosi na Odds: Liverpool vs Aston Villa

Taarifa ya Timu

Wachezaji wawili wa Liverpool Naby Keita na Joe Gomez wapo fiti kurejea dimbani tena baada ya kupata fursa ya kucheza wakitokea benchi dhidi ya Milan lakini Nat Phillips, Curtis Jones, Roberto Firmino na Harvey Elliott wataendelea kuwa nje.

Origi ambaye amekuwa akiisaidia Liverpool kwa mechi mbili mfululizo sasa atakuwa akizingatiwa zaidi na Klopp kwenye uchaguzi wake.

Virgil van Dijk, Fabinho, Jordan Henderson na Thiago Alcantara wote wako tayari kurejea kwenye kikosi cha kwanza dhidi ya Aston Villa.

Kwa upande wa kikosi cha Gerrard Kuhusu Villa, washambuliaji Leon Bailey, Bertrand Traore na Trezeguet hawatapatikana.

Danny Ings anafikiriwa kuwa na nafasi nzuri ya kucheza dhidi ya klabu yake ya zamani, wakati Matt Targett pia anaweza kurejea baada yakupona jeraha la kichwa na kumtoa Ashley Young katika nafasi ya beki wa kushoto.

ODDS BOMBA ZA UBASHIRI WA MECHI HII

Aston Villa kushinda (2) Odds ni 8.82

Timu zote zipate goli kipindi cha kwanza (IGG) Odds ni 4.30

Timu zote zifunge na yapatikane magoli matatu au zaidi (GG3+) Odds ni 2.06

Bashiri Hapa


AGENT JANE BLONDE AMEREJEA MSIMU WA SIKUKUU.

Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe