Hivi majuzi kumekuwa na tetesi za uhamisho zinazomhusisha fowadi huyo mzoefu na kuhamia Barcelona mwezi huu, lakini inaonekana sivyo.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uruguay amecheza mechi nane ndani za Premier League msimu huu, na meneja wa muda Ralf Rangnick sasa amethibitisha kuwa ataendelea kuwepo klabuni hipo hadi angalau msimu wa joto.

“Nilimwambia kama ingekuwa juu yangu ningemtaka abaki, nikafanya naye mazungumzo. Tulizungumza kwa karibu nusu saa, akaniambia hakika atabaki, na angependa kukaa hadi mwisho wa msimu”
“Sio tu kwa sababu nilimwambia kwamba anapaswa kubaki, alifanya hivyo kwa maamuzi yake mwenyewe, na aliniambia kuwa ninaweza kumtegemea kubaki hadi mwisho wa msimu na kutoa mchango bora zaidi.” -Rangnick juu ya Cavani
Manchester United watakuwa uwanjani Jumatatu katika raundi ya tatu ya Kombe la FA watakapochuana na Aston Villa.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

CHEZA HAPA

