Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, huenda akakosa mechi yake ya kwanza ya FA kutokana na jeraha tangu ahamie England. Hiyo ni kulingana na Kocha Mkuu wa Manchester Utd. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Erik ten Hag, ambaye amedai kiungo huyo anakabiliwa na shaka ya kucheza dhidi ya Nottingham Forest katika Kombe la FA katika Uwanja wa City.
Mashetani Wekundu wanakabiliana na upande wa Nuno Espirito Santo katika raundi ya tano Jumatano usiku mechi unayoweza kubashiri kupitia MERIDIANBET kwa ODDS KUBWA wakitafuta kurejea baada ya kushindwa na Fulham.
Lakini huenda wasiwe na mchezaji wao wa kimataifa wa Ureno, Bruno Fernandes, ambaye huenda ameumia Old Trafford Jumamosi iliyopita.
Akizungumza na timu ya habari ya United, Ten Hag amefichua kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ni mmoja kati ya wachezaji watatu ambao wako hatarini kukosa. Jisajili na Meridianbet upate bonasi kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.
Alisema: “Tuna alama kadhaa katika kikosi chetu. Harry Maguire hatakuwepo. Bruno ana shaka. Pia Rapha [Raphael] Varane ana shaka.
“Tunapaswa kusubiri na kuona tutakuwa na nini kisha kuchagua kikosi, kwa lengo la kushinda. Ni mchezo wa Kombe la FA, hivyo ni kuhusu kushinda au kushindwa. Nyeupe au nyeusi.
“Tunapaswa kushinda na hivyo ndivyo tunavyopaswa kufanya. Tunapaswa kuonyesha [tabia].
“Najua tunaweza kuwa katika kiwango chetu bora wakati wa changamoto, na tunabaki pamoja.
“Najua mashabiki, tutakuwa imara pamoja. Na tutakwenda katika pambano hilo kushinda mchezo.”