Caser Azpilicueta Alia Akiaga Kuondoka Chelsea

Cesar Azpilicueta
Cesar Azpilicueta, Chelsea

Gwiji wa Chelsea Cesar Azpilicueta ametokwa na machozi wakati akizungumza kupitia video ya kuaga yenye hisia kali baada ya kuthibitishwa kuwa anaondoka katika klabu hiyo. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 ametumia muda kwenye maisha ya soka kwa miaka 11 akiwa na Chelsea baada ya kushinda kila kombe linalopatikana.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Azpilicueta alikuwa amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake, lakini sasa ataondoka bure baada ya miezi 12 iliyobakia kwenye mkataba wake ikiwa kama ishara ya nia njema.

Mhispania huyo anatarajiwa kurejea katika nchi yake na kujiunga na wababe wa LaLiga Atletico Madrid baada ya kukataa kujiunga na Inter Milan. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Anaondoka kama mmoja wa wachezaji waliopambwa zaidi na Gwiji katika historia ya Chelsea. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe