Cesc Fabregas Atangaza Kuwa Kocha

Fabregas

Nyota wa zamani wa Chelsea Cesc Fabregas ametangaza kubadilisha upande na kuwa kocha wa soka. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

 

Katika taarifa, Fabregas mwenye umri wa miaka 36 alisema: “Ni kwa huzuni kubwa kwamba wakati umefika kwangu kutundika viatu vyangu.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

“Kuanzia kubeba Kombe la Dunia, Euro, hadi kushinda kila kitu nchini Uingereza na Hispania na karibu mataji yote ya Uropa, imekuwa safari ambayo sitaisahau kamwe.

“Baada ya miaka 20 ya ajabu iliyojaa kujitolea, na furaha, ni wakati wa kusema asante na kwaheri kwa mchezo huo mzuri.”

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Inatazamiwa kwamba Fabregas anageukia kwenye upande wa pili wa soka, kwa kuhamishia nguvu zake kufundisha soka. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe