Bruno Fernandes Apongeza Uamuzi wa Ten Hag

Bruno Fernandes amemsifu kocha Mkuu wa timu hiyo Erik Ten Hag kwa kuweka sheria kwa wachezaji wake wa Manchester United tangu alipowasili Old Trafford majira ya joto yaliyopita. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

fernandes

Ten Hag alichukue mikoba ya kuionoa United mwezi Julai kufuatia msimu mbaya wa Mashetani Wekundu iliowafanya kumaliza katika nafasi ya sita kwenye EPL, kwa pointi 13 nje ya nne bora.

Fernandes amekiri kwamba yeye na wachezaji wenzake hapo awali hawakuwa na uhakika kuhusu jinsi kocha huyo wa zamani wa Ajax angekuwa mkali kwa wachezaji, lakini hivi karibuni ikawa wazi kwamba angedai tabia ya kupigiwa mfano ndani na nje ya uwanja ili kubadilisha hali ya timu. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

“Kila mtu alikuwa na hofu kidogo hapo mwanzo kama atafanya hivyo au la? Ikiwa mchezaji mkubwa hafanyi anachotaka atamtoa (kikosini) au la?” Na alifanya hivyo mara nyingi, alifanya hivyo na Cristiano, pamoja na Jadon, na Marcus.”

Ten Hag tayari ameshughulikia masuala kadhaa ya kinidhamu katika miezi sita yake ya kwanza Old Trafford. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Mara kwa mara alimwacha Cristiano Ronaldo nje ya kikosi chake cha kwanza katika wiki za mwanzo za msimu, na kumuondoa kwenye kikosi chake baada ya nyota huyo wa Ureno kujibu kwa hasira kuombwa acheze kama mchezaji wa akiba kwenye mechi dhidi ya Tottenham, na kisha kuipa klabu hiyo matokeo magumu. Ni rahisi kusitisha mkataba wa Ronaldo baada ya mahojiano yake na Piers Morgan.

 

fernandes

Wakati huo huo, pia alimweka kando Jadon Sancho kwenye kikosi cha kwanza huku kukiwa na wasiwasi juu ya ustawi wake wa kimwili na kiakili, lakini bado alishughulikia hali hiyo kwa usikivu na amefanikiwa kumjumuisha winga huyo kwenye kikosi chake wiki za hivi karibuni.

Lakini ni jinsi Ten Hag alivyoshughulika na Marcus Rashford mwishoni mwa Disemba ndivyo vilimvutia sana Fernandes. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe