Pep Guardiola Aweka Rekodi ya Sir Alex Furgeson

guardiola

Hatimaye Kocha wa Manchester City Pep Jusep Guardiola ameipatia timu hiyo kombe kubwa la ulaya ambalo hawajahi kulichukua. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Guardiola usiku wa Juni 10-2023, alifanikiwa kuchukua ubingwa wa Uefa Champions League kwa mara kwanza na kufanya klabu hiyo kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu barani ulaya. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Hilo sio suala, jambo kubwa ni kwamba Pep Guardiola amefanikiwa kuifikia rekodi iliyowahi kuwekwa na kuwekwa na Sir Alex Furgeson mwaka 1999 akiwa na mashetani wekundu, alichukua makombe matatu kwa msimu mmoja “treble” kitu ambacho kimefanywa msimu huu na Pep, amechukua Premier League, Kombe la FA, na UCL.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.