Muda wa Jorginho na Chelsea unakaribia kuisha huku kiungo huyo akiwa tayari kujiunga na Arsenal katika masaa machahce kabla ya dirisha la usajili kufungwa. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Ni hatua ambayo imetoka nje, huku The Gunners wakigeukia kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia baada ya kukubali kushindwa katika harakati zao za kumsaka Moises Caicedo. Wengine hawajafurahishwa na mpango huo, hata hivyo.
Arsenal walikuwa na matumaini ya kumsajili Caicedo mwezi huu, huku nyota huyo wa Brighton akiwa tayari kuondoka Amex kuelekea Uwanja wa Emirates. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Lakini, sasa, Jorginho anatazamiwa kujiunga badala yake kwa dau la Paundi Milioni 12.
Arsenal wako tayari kulipa paundi milioni 12 ili kumnasa nyota huyo wa kimataifa wa Italia huku wakipania kuongeza nafasi yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31, ambaye ameshinda Ligi ya Mabingwa, Ligi ya Europa, UEFA Super Cup na Kombe la Dunia la Klabu wakati akiwa Stamford Bridge, atasaini mkataba wa miezi 18. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!
Walakini, sio kila mtu anafurahi, wengi wanahisi Chelsea inaiuzia Arsenal kigogo mwingine, baada ya hapo awali kufanya vivyo hivyo na Petr Cech, David Luiz na Willian. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

