Klabu Bingwa ya Afrika Yaanza Tanga

KLABU BINGWA
Baadhi ya Mabondia wa Tanzania wanaoshiriki Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.

Mashindano ya Klabu Bingwa ya Taifa yameanza kutimua vumbi katika Uwanja wa Mkwakwani, Jijini Tanga. Meridianbet unaweza kubashiri mpaka ngumi, zote zina odds kubwa.

Jumla ya vilabu 19 vitashiriki mashindano haya vikiwepo vya kutoka Mkoa wa Tanga vya Makorola, Mkwakwani, Pangani, Magomeni, Kange, Tanga Central, Korogwe na Ngamiani.

Vilabu vingine ni mabingwa watetezi MMJKT walioutwaa mwaka 2022 Jijini Dar es salaam, Ngome, Band Coy, Azam, JKT Mgulani, JKT Kibiti, Iringa, Polisi Arusha, Chui, Green Worrier, JKT Chang’ombe. Jishindie mkwanja ukibeti na Meridianbet kwa odds kubwa zaidi.

Mashindano haya yatadumu mpaka 02-09-2023 ambapo yanasimamiwa na BFT kwa kushirikiana na wenyeji chama cha Ngumi Mkoa wa Tanga, yatakuwa sehemu pia ya kujipima na kujiweka sawa kwa wachezaji wa Timu ya Taifa inayojiandaa kushiriki mashindano ya kufuzu Olimpiki ya Paris 2024 kwa Bara la Afrika yatakayofanyika katika mji wa Dakar, Senegal kuanzia tarehe 9-15/09/2023 ambapo Tanzania inatarajia kuwakilishwa na wachezaji 7 (Wanaume 5, Wanawake 2)

Pia wachezaji watakaoonyesha vipaji zaidi wataongezwa kwenye timu ya Taifa kwa ajili ya mashindano mengine mbalimbali ya Kimataifa ikiwemo mashindano mapya ya Africa ya zawadi ya pesa ya Mandela Cup yatakayofanyika October nchini Afrika ya Kusini.

Sloti na kasino ya mtandaoni ni sehemu pekee za kupiga mkwanja.

GUSA USHINDE PESA

Zoezi la uhakiki wa taarifa za washiriki (Sports entry check) na kikao cha ufundi na upangaji wa ratiba (Technical meeting & official Draw) ya mashindano vimefanyika leo, na kesho jumanne tarehe 29-08-2023 masumbwi yataanza kurushwa rasmi.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.