Manchester United Yaiadhibu Luton Kufuta Aibu.


Manchester United wamefanikiwa kuwafunga Luton katika mzunguko wa nne wa kombe la Carabao kwa mabao 3-0 wakiwa Ugenini.

Ole Gunnar Solskjaer alifanya mabadiliko 10 katika kikosi kilichoadhibiwa 3-1 nyumbani dhidi ya Crystal Palace siku ya Jumamosi katika ufunguzi wa Ligi kuu ya nchini Uingereza.

 

Manchester United Yaiadhibu Luton Kufuta Aibu.

Magoli ya Manchester United yalifungwa na Juan mata aliyefunga kwanjia ya mpira wa adhabu kabla ya kipindi cha kwanza, ubora wa Rashford na Greenwood uliwasaidia kuandika mabao mengine dakika za jioni, dakika 88 na 90+3 mtawalia.

Juan Mata alionyesha mchezo mzuri huku akiwa mwiba zaidi uwanjani na kufanikiwa kuifungia Manchester goli la penati dakika ya 44.

“Kuendelea mbele ni jambo kubwa. Tumekuwa na kipa aliyefanya kazi yake, na kufunga magoli mazuri mwishoni na yameonekana matokeo ya ubora wao (Rashford na Greenwood ), Ukiachana na hayo tumekuwa na mchezo mzuri.” alisema Solskjaer baada ya mchezo.

 

Manchester United Yaiadhibu Luton Kufuta Aibu.

Vikosi Vilivyoanza.

Luton: Shea, Kioso, Lockyer, Bradley, Norrington-Davies, Clark, Tunnicliffe, Moncur, LuaLua, Hylton, Shinnie.

Subs: Cornick, Lee.

Manchester United: Henderson, Wan Bissaka, Bailly, Maguir, William, Fred, Matic, Mata, van de Beek, Lingard, Ighalo.

Subs: Rashford, Greenwood, Bruno Fernandes.

Mchezaji Bora wa Mchezo: Juan Mata.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

36 Komentara

    Bora tumefuta aibu

    Jibu

    Mau u naona wamejitutumua sana ili kuifuta aibu yao kwa hao vibonde wao

    Jibu

    Hongera Man U

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Bora man u wamefuta aibu

    Jibu

    Mashabiki tunashukuru kwa kutufutia aibu

    Jibu

    Afadhali..

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Hongera man u.

    Jibu

    Sio mbaya wamefuta machungu kidogo!!!

    Jibu

    Man u kama wataendelea hivi moja kwa moja wanapelekea kurudisha timu yao kwenye ubora

    Jibu

    Gud job

    Jibu

    united wanatuangusha sana mashabiki wao ila kwa iyo gemu walijitahidi kidogo

    Jibu

    Gud job

    Jibu

    Hawa watu ubora wao unakua baadhi ya mechi tu tunataka timu yenye ushindani

    Jibu

    Big up man

    Jibu

    Safi sana man u

    Jibu

    Kwa kweliii wamefuta aibuu

    Jibu

    Pongezi kwa man u

    Jibu

    Manchester United Jana walicheza mpira mzur sana

    Jibu

    Hongera kwa man u

    Jibu

    Hongera kwa man

    Jibu

    Man u gar la mkaa

    Jibu

    Afadhari man u maana ingekuwa aibu

    Jibu

    Dean mwanzo mzuri

    Jibu

    Safi sans man u

    Jibu

    afadhali

    Jibu

    Good

    Jibu

    Angalau kidogooo,man nao wafujivua gamba

    Jibu

    Hakuna jipya hapa

    Jibu

    Pongezi kwa Man U

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Wamejitahi kwa kweli

    Jibu

    Ulikuwa mwanzo mbaya kwa Man U kufungwa 3 nyumbani#meridianbettz

    Jibu

    united wanatuangusha sana mashabiki wao ila kwa iyo gemu walijitahidi kidogo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.