Kocha mkuu wa West Ham, David Moyes amekutwa na Virusi vya Corona pamoja na wachezaji wake wawili ambao ni Issa Diop na Josh Cullen.
West Ham ilipokea majibu hayo muda mfupi kabla ya kuanza kwa raundi ya tatu ya mchezo wao wa Carabao Cup dhidi ya Hull uliochezwa Jana, Septemba 22 Uwanja wa London.

Mchezo huo West Ham ilishinda kwa mabao 5-1 ambapo watupiaji walikuwa ni Robert Snodgrass dk 18, Sebastian Haller 45,90+1 na Andry Yarmolenko 56,(p) na 90 lile la Hull City lilipachikwa na Mallik Wilks dk 70.
Taarifa kamili iliyotolewa na uongozi wa West Ham umethibitisha kwa kusema kuwa wachezaji hao pamoja na meneja wa timu hiyo wamekutwa na Virusi vya Corona kwa sasa wapo kwenye uangalizi.

“West Ham United inathibitisha kwamba David Moyes, Issa Diop na Josh Cullen wamekutwa na Covid -19. Tunawawaombea warejee kwenye ubora wao na tutafuata taratibu zilizowekwa na Ligi Kuu England kwa ajili ya kujali afya zao na zetu pia.”
Kwenye mechi hiyo kocha msaidizi Alan Irvine alichukua majukumu ya kukiongoza kikosi hicho.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Nasra
Pole yao mungu awasaidie watapona
Aziza mushi
Duh pole Yao
Angelina
Corona bado ipo wachukue tahadhari
Mwajumah
Corona ni tishio jamn pole yao
Caroline
Corona noma.
Fatuma kasomo
Polee
Dorophina
Pole yake david
Sauda
Corona hatari sana
Adelta
David pole Sana
Salma ngende
Pole yake
Edgar
Aya magonjwa hajaishi tu …
Mwanahamisi
Pole yake
Latifa juma mohamed
Pole yao
Rose kapinga
Corona ipo jamani msijisahau kufuata vigezo na masharti ya kujikinga!!
Zeiyana
Huu ugonjwa kwa kweli mungu hatuepushie tu
Venerose
Pole sana
Samiah
Pole sanaa
magdalena
huu ugonjwa mungu tu atusaidie jamani maana umekuwa tishio la dunia
Hopemwaikuka
I feel sorry for them
Saupha mohamed
Duuu pole sana
Gabriel
Sad news
aisha
Poleni sana kwa kiguuwa covid 19
Neema
Corona bado tishio
Hidaya
Corona imekuja kuharibu maisha ya watu
Shan
Pole yao
Amiri Kayera
Jamn team itafundishw na nan af ligi imeanza
Khadija
Corona teeeena
Issa
Korona ni tishio
Sabrina
Duh pole sana
marry
atapon acjl
felister
hili gonjwa bado halijaisha tu
Rehema
Pole Asante
Elika
Dah pole yake,maana hili gonjwa bado linatutesaa
Ernest
Corona inatunyima Raha sana kwenye ulimwengu katika nyanja zote
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa Corona ni gonjwa atari
Janeflora malisa
Poleeh
Tatu
Pole yao
Sadick
Japo la kufurahisha maisha yanaendelea hata baada ya watu kupata Corona sio kama awali michezo ilisimamishwa kabisa#meridianbettz
David Pere
Jambo la kufurahisha maisha yanaendelea hata baada ya watu kupata Corona sio kama awali michezo ilisimamishwa kabisa