Golikipa wa Manchester United, Dean Henderson amesema kuwa tayari ameshatimiza ndoto yake baada ya kuanza kwenye kikosi cha Man United Jumanne.
Henderson alichukua namba ya David de Gea mwenye mechi ya Carabao Cup dhidi ya Luton Town United wakiondoka na ushindi wa bao 3-0.
Henderson amerejea United akitokea Sheffield United ambako alikuwep kwa mkopo kwa msimu uliopita. Alisaini mkataba mpya na United mwezi mpya na kutarajiwa kuwa ataleta changamoto mpya kwa David de Gea.
Nyota huyu mwenye umri wa miaka 23, ni zao la akademi ya Klabu, alifanya vyema kwa kuokoa mikwaju kwenye mechi yake ya kwanza. Wakati Rashford, Greenwood na Juan Matta wakicheka na nyavu na kuwapa Man United ushindi.
Dean Henderson alichapisha katika ukurasa wake kuwa “Niliota ndoto hii maisha yangu yote. Ni hisia ya kipekee sana unayoipata pale unapoweza kucheza mechi yako ya kwanza na klabu unayoipenda. Kisha upate hati safi na ushindi, vyote pamoja.”
Nyota huyu alikuwa benchi kwenye mechi ya ufunguzi ya EPL dhidi ya Crystal Palace ambayo United walikubali kichapo cha bao 3-1 wiki iliyopita.
Kikosi cha Ole Gunnar kina kibarua kingine dhidi ya Brighton Jumamosi. Hawa waliwaadhibu mechi yao ya kwanza msimu uliopita.
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


Caroline
Hongera kwa kutimiza ndoto zako.
Angelina
Habari njema
Dorophina
Golikipa yupo makini sana anapokuwa golini
Fatuma kasomo
Asante kwa taarifa@meridianbet
Fatina
Safiii
Sauda
Hongera sana.
Adelta
Anastahili kupewa pongezi
Salma ngende
Hongera
Edgar
Safi sana
Mwanahamisi
Hongera sana
Latifa juma mohamed
Gud news.
Rose kapinga
Hongera kwa kutimiza moja ya ndoto zako!!!
Mwajumah
Habari njema
magdalena
henderson yupo vizuri sana katika udakaji apo united wamepata kipa mzuri
Zeiyana
Tumemuona mbadala wa de gea hapo bado wasajili wachezaji wenye kujituma tutaona ubaora na timu hitarudi kama zamani
Hopemwaikuka
Waoo! Unastahir pongez
Samiah
Unastahili pongezi
Saupha mohamed
Hongera
Gabriel
Dean Henderson n kipa mzur sana
Neema
Waooo safii sana
aisha
Imekua kama maajabu maana ni watu wengi wanakiwa na ndoto halafu wanatimiza malengo yao pongezi sana kwako
Nasra
Habari njema
Hidaya
Ni vizuri kutimiza ndoto
Amiri Kayera
Alikua kweny kiwango kizur
Khadija
Habari njema
Issa
Kipa mwingine atakaempa changamoto de gea kwenye kikosi cha kwanza
Sabrina
Inapendeza sana hii
marry
nice
felister
anastahili pongezi
Rehema
Good news 👍
Ester jackson
Hongera sana
Elika
Safi sana underson
Ernest
Ni jambo zuri sana kwa Mchezaji/Mtu kutimiza ndoto yako, Nadhani Dean Henderson alilala na viatu na Gloves mikononi
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera kwa kutimiza ndoto zako
Janeflora malisa
Vzr
Tatu
Hongera sana
Sadick
Henderson ana ana nafasi wa kuwa Golikipa namba moja Man U#meridianbettz
David Pere
Tumemuona mbadala wa de gea hapo bado wasajili wachezaji wenye kujituma tutaona ubaora na timu hitarudi kama zamani