Arsenal wamejinasia huduma za kipa raia wa Iceland Runar Alex Runnarsson ambaye ametia saini mkataba wa miaka minne kutoka katika klabu ya Dijon nchini Ufaransa.
Runnarsson, 25, amesajiliwa na Arsenal ili awe kipa chaguo la pili baada ya kuondoka kwa Emiliano Martinez aliyejiunga na Aston Villa na kumwacha Bernd Leno ambaye amekuwa akitegemewa zaidi na kocha Mikel Arteta.

Runnarsson alijiunga na Dijon ya Ligu Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) mnamo Julai 2018 na akikitumikia kikosi hicho.
“Nimefurahi sana kutia saini mkataba wa muda mrefu na Arsenal. Hizi ni habari njema kwangu na familia yangu nzima,” akatanguliza Runnarsson.
“Najua ninasubiriwa na kibarua kigumu hapa Emirates, lakini nitajitahidi kujituma kwa kadri ya uwezo wangu ili nijivunia muda wa kutosha wa kuwasaidia Arsenal,” akasema.

Kocha Mikel Arteta wa Arsenal alisema: “Tunataka kuleta ushindani unaotakiwa hapa Emirates. Naamini kwamba ujio wa Alex utaimarisha zaidi uthabiti wa idara hiyo.”
FURAHIA KASINO YA MTANDAONI
Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.


farida ahmadi
Runarson Yuko vizuri Sana ataisaidia arsenal kwa kiwango kikubwa
Adelta
Runnarsson Yuko vizuri
Nasra
Yuko poa Sana
Dorophina
Runna yupo vizuri atakava pengo vizuri la martinez
Mwajumah
Runna yupo vizur
Caroline
Runnason karibu Arsenal.tunakuaminia .
Angelina
Goodnews
Fatuma kasomo
Yupo vizur
Fatina mfigi
Yuko vizur
Sauda
Arsenal wameula
Salma ngende
Vizuri
Mwanahamisi
Yuko poa
Rose kapinga
Mlinzi imaraa
Latifa juma mohamed
Vizur
Samiah
Vzr
magdalena
runnersson kijana makini lakini anajiona sana uyu jamaa
Hopemwaikuka
Wamepata mpambanaj wamtumie vzur
Zeiyana
Tuna subiri kuona maajabu yake tumeona usajiri wa wachezaji arsenal wamejitaidi sana
Shani
Atafankiw kuziba pengo?
Saupha mohamed
Hongera arsenal kwakupata jembe
Gabriel
Arsenal hawajawah kukosea kwenye usajil wao nawakubali sana 👍
Neema
Yuko vzr sana
aisha
Namuelewa sana yuko pamoja
Hidaya
Pongezi kwa arsenal
Amiri Kayera
Ni chaguo sahihi
Khadija
Yupo poa
Issa
The gunners itatakiwa ipate mlinda mlango makin kama seaman
Sabrina
Runna yuko fiti
felister
chaguo sahihi
Rehema
Yuko vizuri
Ernest
Kila la heri kwa Runnarsson ndani ya Arsenal
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri sana
Janeflora malisa
Vzr
Tatu
Arsenal wamepata jembe
David Pere
Runarson Yuko vizuri Sana ataisaidia arsenal kwa kiwango kikubwa