Sergi Roberto: Niliomba Sana Messi Asiondoke Barcelona

Nyota wa Barcelona Sergi Roberto amesema kuwa hapati picha Barcelona itakuwaje bila Messi na alikuwa anaomba sana Lionel Messi kubaki Camp Nou.

Messi alishangaza ulimwengu mwezi uliopita wakati aliweka wazi juu ya nia yake ya kuondoka kwa miamba ya LaLiga, huku mchezaji huyo wa miaka 33 akikusudia kuondoka bure kama mchezaji huru mwishoni mwa msimu uliopita.

Hata hivyo, suala la mkataba wa Messi lilizua gumzo kutokana na janga la coronavirus, lililopelekea msimu kuwa mrefu.

Lionel Messi alikuwa mbioni kuondoka Barcelona

Messi alibainisha kuwa angekuwa anaweza kulipeleka suala hilo kwenye vyombo vya sheria, lakini aliamua kubaki Catalonia badala ya kuwachukulia hatua za kisheria kutokana na mapenzi yake na klabu.

Sergi Roberto anadhani Messi ni sehemu muhimu mno ya klabu. Alipoulizwa juu ya sekeseke la Messi 2020-21, Roberto alisem;

“Siwezi kufikiria Barcaleo bila na nilifkunja vidole vyangu ili abaki. Ninamuona akifanya mazoezi vizuri sana. Ni mchezaji aliye na utaalam na sina shaka kuwa atachangia asilimia 100 kila siku kwenye uzi huu wa klabu. ”


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

35 Komentara

    Barcelona bila Messi dah sijui ingekuwajee

    Jibu

    Nomaa

    Jibu

    Messi na Barcelona dam dam!!

    Jibu

    Hawezi kuondoka

    Jibu

    Messi angeondoka Barca naona kikosi kingekufa taratibu

    Jibu

    Messi ndo mpango mzima ndani ya Barcelona.

    Jibu

    Alifanya jambo sahihi

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Hawezi kuondoka

    Jibu

    Hakuna Barcelona bila messi

    Jibu

    Messi asingeweza kuondoka Barcelona bila ya utalatibu wowote ukiangali ile ndio clabu iliyo mlea hadi hakawa messi so lazima utaratibu haufuate

    Jibu

    Messi hawezi kuondoka barca

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Messi ndo kitambulsho cha barca

    Jibu

    messi kuondoka barca sizani kama anaweza maana barca ndo kama nyumbani kwao atazeekea apo

    Jibu

    Messi mnyamaa daah sijui itakuaje Barcelona

    Jibu

    Messi ndie mwenye timu yake ya barcelona

    Jibu

    Messi kuondoka itakuwa ngumu

    Jibu

    Maombi ya Sergi Roberto atimae yametimia Messi amebak Barcelona

    Jibu

    Barcelona bila messi hamna kitu

    Jibu

    Maombi yake yamekamilika

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Mmmh!! Uko vizuri kwenye maombi hatimaye umefanikiwa!!

    Jibu

    Jamani messi aende wapi

    Jibu

    Inaonyesha barca ni tegemez kwa mtu mmoja

    Jibu

    barca na Messi kama uji na mgonjwa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Haya sijui kafaidikana lipi sasa

    Jibu

    Messi hapendezwi na mwenendo wa Timu hasa katika mbio za ubingwa anaona kabisa timu imeshapotea ndio maana alitaka kusepa Barca

    Jibu

    Hbr njm

    Jibu

    Mm naona mess ndio kaibeba Barcelona

    Jibu

    Barcelona inatakiwa kufikiria maisha bila Messi kwa sababu hawezi kuwa hapo milele#meridianbettz

    Jibu

    Messi asingeweza kuondoka Barcelona bila ya utalatibu wowote ukiangali ile ndio clabu iliyo mlea hadi hakawa messi so lazima utaratibu haufuate

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

Acha ujumbe