Miquissone Kwisha Habari Yake Simba SC

IMEELEZWA kuwa mabosi wa Simba wanafikiria kuachana na kiungo wao Luis Miquissone ambaye alijiunga na timu hiyo kwa mara nyingine akitokea Al Ahly ya Misri kutokana na kutokuwa chaguo la kwanza ndani ya timu hiyo. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

miquissone

 

Kwa sasa ambacho kinatajwa ni majadiliano na benchi la ufundi pamoja na mchezaji mwenye kama atarejea kwenye ubora wake au ikiwa tofauti watakuwa tayari kuachana naye.

Luis Miquissone amekua akipambana kurejesha makali yake tangu asajiliwe tena na timu hiyo akitokea Al Ahly na tangu amevaa tena jezi ya Simba hajafanikiwa kufanya maajabu yoyote. Ukiwa na meridianbet vitu vya uhakika ni odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Kocha Benchika anahitaji kuwa na wachezaji wenye kumpa kitu kwenye kila mchezo na hiyo inatajwa kuwa Sababu Kuu ya nyota huyo raia wa Mozambique ya kuwa kwenye Uwezekano wa kuondoka Kwa kuwa mchango wake kwenye timu ni mdogo.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe