Yanga Kufanya Mambo Makubwa.

UONGOZI wa Yanga SC umebainisha kuwa utafanya kazi kubwa kufanikisha malengo ya kutwaa ubingwa ambao upo mikononi mwao waliotwaa msimu wa 2022/23. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Yanga

 

Chini ya Miguel Gamondi Yanga ilitoka kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Kinara wa utupiaji wa mabao ni Aziz KI ndani ya Yanga na ligi kiujumla akiwa katupia mabao 9 kibindoni ambapo kwenye mabao hayo alifunga hat trick moja kwenye mchezo dhidi ya Azam FC.
Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe alisema kuwa kikubwa ni kufanya vizuri kwenye mechi zote wanazocheza ili kupata matokeo chanya.

Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

“Kikubwa kwenye mechi za ligi tunahitaji matokeo mazuri ambayo yatatufanya tufikie malengo yetu ya kutwaa ubingwa inawezekana kutokana na wachezaji waliopo.

Mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga itasafiri mpaka Makao Makuu ya Nchi kukipiga na Tabora United, mchezo huo utapigwa majira ya Saa 10:00 Jioni katika dimba la Jamhuri. MERIDIANBET kama kawaida wana pesa zako, chagua timu yako ya uhakika na odds kubwa za ushindi kisha tandika jamvi lako mapema kabla hujachelewa.

 

Acha ujumbe