Kocha Tabora Utd Alalamikia Mechi na Yanga Kuchezwa Dodoma.

Licha ya Uwanja wa Al Hassan Mwinyi wa Tabora kufunguliwa ila mchezo kati ya Tabora United dhidi Yanga SC utapigwa kwenye uwanja wa CCM Jamhuri Dodoma.

Tabora Utd vs Yanga

 

Yanga SC imetua asubuhi hii jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo huo wa ligi kuu soka Tanzania Bara. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Tabora United wao walianza safari ya Bus kutoka Tabora kwenye Dodoma jioni hii kuifuata Yanga SC jana jioni.

Tabora United watautumia uwanja huo kwenye mchezo wao dhidi ya Simba SC, Desemba 29. Lakini kocha mkuu wa klabu  ya nyuki wa Tabora Goran Kuponivic alisema kwenye mahojiano na waandishi wa habari kwamba: Sielewi kwanini mechi yetu dhidi ya Yanga imeletwa Dodoma na sio kucheza Tabora kwenye uwanja wa nyumbani, lakini watambue hii ni kwaajili ya Wanatabora na sio mimi.”

yanga

Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Kwa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Desemba 21/12/2023 ilitanabaisha kwamba uwanja uliokuwa unatumiwa na Tabora Utd “Ally Hassani Mwinyi” umefunguliwa na hivyo mchezo dhidi ya Simba ndiyo utachezwa hapo.

Kwa Mujibu wa Kanuni mabadiliko ya uwanja yasingewezekana kwa mechi kati ya Tabora Utd vs Yanga kuchezwa Tabora, kwa sababu muda wa taarifa ulichelwa kutoka na hivyo kikanuni isingekuwa vizuri kwa mchezo huo kuchezwa Tabora.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe