Benchikha Ataka Usajili, Bado Hajaridhishwa...

LICHA ya ushindi wa mabao 2-0 ambao Simba wameupata dhidi ya Wydad Casablanca lakini kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelak Benchikha amesema kuwa bado timu yake haijafika asilimia mia kiuchezaji kama ambavyo anahitaji. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Benchika-Simba

 

Kocha huyo tangu atue Simba amepoteza mchezo mmoja tu, dhidi ya Wydad Casablanca huku pia akiipa ushindi katika mchezo wa marudiano wa kundi B la Ligi ya Mabingwa Afrika na kuipeleka Simba nafasi ya pili ya kundi B.

Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Akizungumza kocha huyo alisema kuwa “Bado hatujafikia pale ambapo tunapahitaji, tunafanyia kazi kuona timu inakuwa bora kwa asilimia kubwa zaidi ya sasa, tunashukuru kuwa tumepata matokeo mazuri.

simba ya benchika

“Tunatakiwa kuendelea kufanyia kazi yale mapungufu yote ambayo yanajitokeza kwa sasa,wachezaji wapo tayari kwa ajili ya mapambano na sisi tutahakikisha kuwa tunawapa mbinu nzuri zaidi.

“Bado tupo kwenye mipango ya kuiimarisha timu, kuna madirisha yajayo ya usajili, naamini kila kitu kitakuwa sawa, lengo kubwa ni kufika pale ambapo tunapahitaji, mashabiki, viongozi na wachezaji tunatakiwa kuwa pamoja ili tufike tulipopahitaji,”alisema Benchikha.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Acha ujumbe