Pesa za Usajili wa Mudryk Kutolewa kwa Wanajeshi Vitani-Ukraine

Kulingana na ripoti mbalimbali zinaeleza kuwa Rais wa klabu ya Shakhtar Donetsk ya Ligi kuu ya Ukraine Akhmetov amesema kuwa atatoa kiasi cha Dola Milioni 25 za usajili wa Mykhailo Mudryk kama msaada kwa wanajeshi wa Ukraine waliopo vitani pamoja na familia zao. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

 

mudryk

Kwa mujibu wa mwandishi nguli wa habari za usajili Fabrizio Romano alichapisha nukuu ya Akhmetov akielezea uamuzi huo ambao watu wengi wameonekana kuufurahia kwa kiasi kikubwa. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

“Ninaelekeza kiasi cha dola milioni 25 leo hii ili kuwasaidia wanajeshi, walinzi pamoja na familia zao”-Rais wa Shaktar-Akhmetov

 

mudryk

Lakini pia hakusita kusema kwamba Shaktar itakuwa tayari kucheza na Chelsea mechi ya kirafiki pindi hali ya kiusalama na amani itakaporejea sawa nchini humo.

“Tunajivunia sana na Mudryk, tutacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Chelsea katika ukumbi wa Donbass Arena katika klabu ya Donetsk ya Ukraine.

Chelsea imemsajili Mudryk kwa kiasi cha paundi 100m kwa mkataba wa muda mrefu wa miaka 8. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Acha ujumbe