Makala nyingine

Klopp amesifu kiwango cha mchezaji wa Bayern Munich Thiago huku kiwa na tetesi za Liverpool kumsajili mchezaji huyo wakati wa dirisha la usajili. Jurgen Klopp ameonekana kuwa na dhamira ya …

Mkurugenzi Mtendaji wa klabu ya Calcio Como, Michael Gandler amethibitisha kufanya mazungumzo ya kumsajili mtukutu, Mario Balotelli. Balotelli ataondoka Brescia mwishoni mwa msimu baada ya klabu hiyo kushuka Daraja kutoka …

Lovren Kutua Zenit

Beki wa Liverpool, Dejan Lovren yupo mbioni kujiunga na club ya Zenit St. Petersburg kwa ada ya pauni 11 milioni. Lovren alijiunga na Liverpool akitokea Southampton mwezi July 2014 kwa …

Kocha wa zamani wa Arsenal, Unai Emery ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Klabu ya huko La Liga, Villarreal kwa mkataba wa miaka mitatu ijayo. Mhispania huyo mwenye umri wa miaka …

Sahau kuhusu ‘mamilioni’ ya vivutio pale Brazil. Wasahau waholanzi walioiumba nchi yao kutoka baharini. Wasahau wagiriki walioanzisha shule na ‘philosophia’ duniani. Waulize wareno walifikiria nini kutunga wimbo wa taifa kabla …

Berkgamp Aitaka Arsenal

Legendari wa Arsenal Denis Berkgamp ameonesha nia ya kurejea katika club ya Arsenal kama mmoja kati ya wakufunzi wa benchi la ufundi. Berkgamp amesema atarudi Arsenal muda sahihi utakapowadia. Bergkamp …

Kocha mkuu wa klabu ya Roma, Paulo Fonseca amesema timu hiyo ya Serie A haina mpango wa kumuuza nyota wake Nicolo Zaniolo hali ya kuwa taarifa za uhamisho wa nyota …

Timu ya nchini Italia Brescia iliyokuwa ikishiriki ligi kuu ya nchini humo maarufu kama Serie A, imeshuka daraja baada ya kufungwa 3-1 dhidi ya Leece siku ya Jumatano ambao pia wapo kwenye mstari wa kushuka …

Fleming Atua Chelsea

Chelsea Women imekamilisha uhamisho wa kiungo raia wa Canada, Jessie Fleming ambaye ametua Chelsea akitokea klabu ya UCLA Bruins. Fleming mwenye miaka 22 ametua Chelsea na kusaini mkataba wa miaka …

Gazeti la Uturuki, Takvim linaripoti kuwa Klabu ya Fenerbahce wanavutiwa na kumsajili mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta kutoka Aston Villa katika dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya …

Kocha wa Chelsea, Frank Lampard amesema timu yake ipo mbali sana na ubingwa wa Uingereza hivo lazima wafanye kazi kubwa sana kurejea kule walipokuwa mwanzo. Lampard amesema hayo mapema leo …

Tetesi za Usajili

Juventus wapo katika mipango ya kutaka kumchukua aliyekuwa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino ili kuchukua nafasi ya Maurizio Sarri ndani ya klabu hiyo inayotumikiwa na mchezaji nyota Ronaldo . Taarifa …

1 2 3 109 110 111 112 113 114 115 116