Makala nyingine

Frank Lampard amepuuza kuendelea na mchakato wa kunasa saini za wachezaji wakati wa dirisha la usajili ikiwa klabu hiyo ya Chelsea ilikuwa karibu kumsajili Kai Havertz. The Blues wakiwa wamekamilisha …

Cristiano Ronaldo ameongeza historia nyingine na kuendelea kuipamba stori ya maisha yake ya soka kwa kuwa mchezaji mwenye kasi zaidi kwa kufikisha goli 50 ndani ya ligi ya Serie A …

Eric Dier amesaini kandarasi mpya kuendelea kubaki katika klabu ya Tottenham mpaka mwaka 2024. Mchezaji huyo wa England alikuwa amebakisha si zaidi ya mwaka mmoja katika mkataba wake uliyopita na …

Watford wamemtimua Kocha wao, Nigel Pearson kukiwa na michezo miwili ya msimu wa Premier League iliyobaki, Klabu hiyo na pointi tatu juu ya eneo la kushuka Daraja. Kocha Mkuu wa …

Man City Kumwania Aké

Manchester City wako karibu kufikia makubaliano ya uhamisho wa Beki, Nathan Aké kutoka Bournemouth. Kocha wa City, Pep Guardiola anataka kujenga upya eneo la beki kufuatia kusuasua kwa eneo hilo, …

Vecino mwenye umri wa  miaka 28 amekosa michezo mitatu kufuatia kuwa na majeraha ya goti, na kwa sasa anatizamiwa kwenda kwaajili ya kupigwa kisu jijini Barcelona siku ya Jumanne. Inter …

Wakati Ligi Kuu ya Uingereza EPL ikielekea ukingoni, ikiwa takribani imesalia mechi moja na kwa baadhi ya timu zimesalia mbili na Bingwa akiwa tayari amejulikana lakini kukiwa kuna mvutano katika …

Hakuna tuzo za Ballon d’Or mwaka 2020 kutokana na “upungufu wa hali ya kiusawa,” France Football imetangaza hivyo. Chapisho la Ufaransa, ambalo inaunganisha tuzo za kifahari kwa mpira wa miguu …

Messi na La Liga

Lionel Messi ameweka rekodi mpya ya Kutoa Assists nyingi katika La Liga katika msimu mmoja, akimzidi mchezaji mwenzake wa zamani wa timu hapo Barcelona, Xavi katika mchakato huo. Messi alitoa …

Unakumbuka Harry Kane alipoanza kufunga na kudhaniwa atakuwa mchezaji wa msimu mmoja tu? Haikuwa hivo, tangu alipoanza kutisha kwenye msimu wake wa kwanza, hajawahi kuporomoka uwezo tena. Wala haoneshi dalili …

KOCHA Mkuu wa As Vita, Frolent Ibenge ambaye inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za Simba inatajwa kuwa kocha huyo ataambatana na kiungo wa timu yake, Jeremy Mumbere ambaye amesema kuwa …

Muda mwingine nakaa chini nawaza, Hivi ni kweli Simba ina fundi huyu anayepigania namba pale Zambia ‘chipolopolo’ mbele ya Kelvin Kampamba, Augustine Mulenga, Donashano Malama, Nathan Sinkala na Enock Mwepu …

1 2 3 110 111 112 113 114 115 116