Kocha mkuu wa klabu ya Roma, Paulo Fonseca amesema timu hiyo ya Serie A haina mpango wa kumuuza nyota wake Nicolo Zaniolo hali ya kuwa taarifa za uhamisho wa nyota huyo kuzagaa.
Zaniolo amekuwa akicheza katika kiwango kizuri tangu ajiunge na ligi hiyo akitokea kwa mahasimu wa Serie A Inter Milan mwaka 2018, na kujitengenezea ufalme wa kuwa mchezeshaji katika timu ya Giallorossi na Italy
Lakini kiungo mshambuliaji huyo, aliye rudi kutoka kwenye kuuguza majeraha ya goti mwezi huu amekuwa akihusishwa na kutimkia katika ligi ya Premier League na timu ya Jose Mourinho Tottenham imekuwa ikihusishwa na kumsajili kiungo huyo lakini Inter na Juventus pia wanahitaji saini ya mchezaji huyo.

Fonseca amekataa kumuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 na roma wanatarajia kumpa dili nyingine mchezaji huyo aliyefunga kwenye mchezo dhidi ya SPAL na Roma kuibuka na ushindi mnono wa 6-1.
“Hatutaki kumuuza Zaniolo au Lorenzo Pellegrini,” Fonseca aliiambia Sky Sports Italia.
“Ni wachezaji muhimu sana kwa malengo ya Roma ya baadaye.”
Zaniolo alitokea benchi baada ya dakika ya 11 ya kipindi cha pili na kufunga goli safi dakika ya 90 kwenye ushindi wa 6-1 katika Serie A wakiwa ugenini kwa mara ya kwanza tangu 1935.
Kulikuwa na mazungumzo ya kuwa Zaniolo hana furaha akiwa Roma pia kumekuwa na tetesi kuwa Zaniolo anamwaruzano na Fonseca.
Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.


aisha
Zaniolo endelea kutimiza ndoto zako hata kama uvumi unazagaa vipi mtaani kuwa wewe unauzwa nakukubali sana
Njiku
Ipo poa sanaa hii
Dorophina
Kocha yupo sahihi zaniolo anamchango mkubwa sana Roma hawawezi kumuuza
Ernest
Kama Paulo Fonseca ataangalia future yake zaidi itakuwa ngumu sana kwa yeye kubakia ndani ya kikosi cha Roma.
Magdalena
Kocha nzuri sana na anajutoa sana Roma
Samira
Wamuachie na yy anafuture yake mbeleni sio kila siku ataichezea Roma
Sadick
Unapotaka kujenga timu kubwa ya ushindi ni vema kutouza wachezaji watakaofanya ufikie lengo hilo#meridianbettz
Rose kapinga
Hawawez kumtoa ana mchango mkubwa sio rahisi kumpoteza
[email protected]
Ipo poa Sana hii
Antony Luseno
Roma bado wana kazi naye kwa hiyo ni vigumu kumuuza
Franky
Good news
Adelta
Iko poa sana hii
Ester jackson
Wameona anaumuhimu katika timu kocha anajua kama katika wachezaji ambao wanafanya vizuri zaidi nae ni miongoni mwao ndio mana hawezi kuunzwa
Fatina mfingi
Asnteh kwa taarifa meridianbet
Lydia Emmanuel Magoti
Ipo poa hii
devotha
Zaniolo ni mchezaji mzuri sana
Isaya massawe
Zaniolo hatari sana Roma wamefanya la
Maana sana kutomuuza
Theckla
Asante kwa taarifa
mwajumah
Iko pw sana hii#Meridianbettz
caroline
Zaniolo baki roma upige mpira
Mwanahamisi
iko poa sana
Flomena
Lakini kiungo mshambuliaji huyo, aliye rudi kutoka kwenye kuuguza majeraha ya goti mwezi huu amekuwa akihusishwa na kutimkia katika ligi ya Premier League na timu ya Jose Mourinho Tottenham imekuwa ikihusishwa na kumsajili kiungo huyo lakini Inter na Juventus pia wanahitaji saini ya mchezaji huyo.
Furahav
Huu mchezo wa kuuza wachezaji hovyo ndio unafanya timu kuyumba.
lombo
kama anamchango mkubwa kweny timu kwann auzwe
Saupha mohamed
Safi sana kocha ..bora abaki jamaa anajua
Jane Michael
Vizuri sana
christopher
Sema hao wachezaji wanaiweza ligi ya huko tu Italy wakitoka nje ya hapo hamna kitu
Povel
Kila mchezaj yupo sokon kikubw hapo dau la makubaliano baina ya club na club na kufikiah muafaka pesa ndo kila kitu
Zuhura omary kindamba
Asante Meridianbet kwa makala kama hii
Amiri Kayera
Safi koch
Johnmary joel
Nivigumu kumuuza Roma wanamkubali sana#meridianbett
Janeflora malisa
Nice
Theonestina
Ni kocha mzur Sana uyo jamaa.namkubar
Gabriel
Ujue hapa tunaona Kuna makundi mawili upande wa Paulo Fonseca kocha na upande wa wakala wa zaniolo maana hizi tetesi zilikuwa kabla ajapata majeruh stil now linaendelea kusemekana linawezekana likawa kwel ila wanatuficha maana kiungo huyu ntamtambua tokea akiwa club ya inter milan alivyokuwa anafanya maajabu mpk kuingia roma ila ukwel anatambua wakala wake na yeye mwenyew
Samiah
Gud
Genia Sikaluzwe
Nikocha mzuri anajuwa majukumyake
neema hassan
Asante kwa makala
Omary lukumbi
Hyo ni taarifa njema kwa shabiki wa fc roma
tumaini
Maoni:Good news
Neema juma
Ndowakomalie kisawasawaa asiuzwe huyo mchezaji
Leonard
Zaniolo yupo vizuri
Fatuma kasomo
Safii
Zeiyana
Kocha kama kocha yupo kwa ajili ya kujenga timu na sio kumzuia mchezaji mahamuzi so Roma bado wanamuitaji sana zaniolo lakini inaonekana kama mchezaji huyo hafurahii kubaki kwenye clabu hiyo
Angelina
Zaniolo yuko vizuri ni bora abaki hapo hapo kocha amefanya maamuzi mazuri
Khadija
Zaniolo yupo vizuri sana#meridianbettz
Tatu
Zaniolo anajua mpira akibaki hapo hapo ili club ipande daraja
felister
Zaniolo kiungo mshambuliaji mzuri sana
Amani
Mchezaji mzuri so bado anaitajika
Rehema
Mchezaji mzuri bado anaitajika
farida ahmadi
Yupo sahihi kabisah
Issa
Zaniolo ni bonge la mchezaji afai ila abaki roma
Hope mwaikuka
Axante kwa taarifa nzur
Shafii
Still wanahitaji huduma yake clubuni hapo.
David Pere
Ni Jambo zuri sanaa Kama watambakiza kwa Sababu mfumo wa kuuza wachezaji hovyo ni hatari kwa timu husika
warda
Zaniolo Nyota inawaka bwana #Meridianbettz