Bruno Fernandes Ishi Kabla Hujaishia (PART ONE)

Sahau kuhusu ‘mamilioni’ ya vivutio pale Brazil. Wasahau waholanzi walioiumba nchi yao kutoka baharini. Wasahau wagiriki walioanzisha shule na ‘philosophia’ duniani. Waulize wareno walifikiria nini kutunga wimbo wa taifa kabla ya mataifa yote duniani? Wakishakujibu, waulize walimpata wapi Bruno Miguel Borges Fernandes?


_
Historia yake duniani inaanzia mjini Porto mitaa ya Maia Ureno, alipozaliwa September 8 1994, miaka 25 iliyopita. Akiwa mtoto mdogo katikati ya mji uliojaa wahuni, walezi wake walihofia kuharibika kwa nidhamu yake, wakalazimika kumpeleka katika academy ya Boavista ili kumzuia kurandaranda mitaani.
_
Ndipo hapo ‘mabalaa’ yake yalipoanzia na kuwashawishi waitaliano Fulani kutoka Calcio kufunga safari kutoka kwao kwenda kumchukua Ureno. Baada ya kuitumikia timu ya watoto kwa wiki chache tu, alipandishwa timu ya wakubwa ya Calcio na kuichezea zaidi ya nusu msimu wa 2012-13. Yalipofika majira ya joto ya 2013, Bruno alijiunga na Udinese iliyokuwa Serie A.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

38 Komentara

    Yuko vizuri.

    Jibu

    namkubali sana Bruno! tupatie part two

    Jibu

    Huyu jamaa anajua sana Kwa mara ya kwanza aliitwa katika kikosi cha Taifa mwaka 2017 akichukua nafasi baada ya Pizzi kuwa majeruhi, Alipata nafasi pia ya kucheza katika michuano ya FİFA kufuzu kombe la dunia dhidi ya Saudi Arabia akichukua nafasi ya Manuel Fernandez.
    Mchezo wake wa kwanza kuanza kipindi cha kwanza na kumaliza ilikuwa dhidi ya USA. Akiwa katika Klabu ya Udinese alifanikiwa kufunga magoli 11 katika michezo 66 aliyocheza.
    Baada ya Hapo alitolewa kwa mkopo katika Klabu ya Sampdoria ambapo pia alifanikiwa kufunga mabao 5 na goli lake la kwanza alifunga dhidi ya Calgiari. Hapo msimu 2017-18 alinunuliwa na Klabu ya Sporting CP ambapo katika michezo 5 alifunga mabao 4 ndani ya Primeira Liga.

    Jibu

    Bruno yuko vizuri.

    Jibu

    Msimu ujao utakua bora sana kwa club zilizokua zikidharaulika na bruno atafanya jambo

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Habari njema hiii

    Jibu

    Imeeleweka hii

    Jibu

    Kweli kabisaa

    Jibu

    Bruno pale Man U atashaini Sana na ataweka Record nzuri Sana ambayo jaitasahulika katika vichwa vya mashabiki wa Man U

    Jibu

    Bruno yupo vizuri.

    Jibu

    Nyie Meridianbettz mnajua kunifurahisha sana hii Bonus ya5%

    Jibu

    Bruno Ni mchezaji mzuri naamini ipo siku atakuja kuweka historia nzuri sana man u awatamsahau

    Jibu

    Bruno hatari Man u wamelamba dume yaani ananifurahisha sana akiwa uwanjani

    Jibu

    Atavunja record Bruno pale mjini old trafod

    Jibu

    Bruno yupo vizuri#meridianbettz

    Jibu

    Bruno yuko vizuri sana

    Jibu

    Bruno yupo vizuri sana

    Jibu

    Bruno yupo vizuri

    Jibu

    Safii jamaaa yupo poa sana na man u wanafurahia kiwango chake

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Yupo vzr

    Jibu

    part two iko wapi

    Jibu

    Makal nzur

    Jibu

    yuko vizuri

    Jibu

    Dhahabu ya man u

    Jibu

    Sahih kabsa

    Jibu

    saf

    Jibu

    Man U wanakila sababu ya kufurahia kwamba wamesajiri chuma cha pua#meridianbettz

    Jibu

    Bruno yupo vzr sana

    Jibu

    Maoni:habari njema

    Jibu

    Bruno jeshii langu yuko sahihi

    Jibu

    Bruno hanatisha sana

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Jeshi kubwa Bruno

    Jibu

    Bruno ni mchezaji hatari sana nadhani atakuwa mchezaji wa muhimu sana ndani ya Man U Msimu ujao

    Jibu

    Bruno yuko vizuri sana

    Jibu

    United hawakukosea kabisa kumsajili Bruno waliona mbali kipaji chake

    Jibu

Acha ujumbe