Bayern Yamvizia Harry Kane.

Inaripotiwa kuwa  Bayern Munchen ipo katika mikakati ya kutaka kununua mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Uingereza na Tottenham Spurs Harry Kane katika msimu ujao wa joto.

Bayern Yamvizia Harry Kane.

Bayern walitoa mapendekezo yao hivi karibuni kwa nahodha huyo wa England mwenye umri wa miaka 29 kufuatia kuondoka kwa Robert Lewandowski kuelekea Barcelona. Lakini mkataba huo haukufanikiwa na kumwacha kocha mkuu wa klabu hiyo Julian Nagelsmann  kubaki bila namba 9 katika kikosi chake.

Hata hivyo jarida la Bid la Ujerumani linadai kuwa Bayern bado inamtaka Kane ambaye tayari amekubali kusaini mkataba huo na Spurs huku mkataba wake ukimalizika 2024. Mabingwa hao wa Ujerumani wanaamini kuwa wanaweza kuwalazimisha Spurs kukubali kuondoka kwake katika kipindi cha mwaka mmoja.

Lakini inabaki kuonekana kuwa Harry Kane angependa kuitumikia Spurs kwani anafuraha klabuni hapo hasa kutokana na ujio wa Antonio Conte. Conte anasema kuwa Harry Kane ni mchezaji muhimu sana katika klabu yake na hamu ya kila mtu ndani ya Spurs ni Kane.

Bayern Yamvizia Harry Kane.

Huku mchezaji huyo akiwa hajashinda taji kubwa lolote mpaka sasa, hamu ya kujiunga na klabu iliyohakikishiwa kushindaniwa tuzo za juu inaweza kuwa ngumu kukataa. Kane mpaka sasa ametupia mabao matano ndani ya Spurs.

 

 

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.