Gwiji wa Arsenal Ray Parlour amesisitiza kwamba mshambuliaji wa Brentford, Ivan Toney anaweza kununuliwa kwa kiasi kikubwa msimu huu wa joto. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Ivan Toney, ambaye anakabiliwa na uwezekano wa kufungiwa na FA kwa kukiuka sheria za ubashiri wa mechi, amefunga mabao 20 ya Ligi Kuu msimu huu. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Akimzungumzia kijana huyo mwenye umri wa miaka 27 kwenye kipindi cha Sports Breakfast, Parlor alisema: “Ivan Toney, lazima awe katika mawazo ya watu, bila shaka?”
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Alipoulizwa kama Chelsea inaweza kuwa chaguo lake, nyota huyo wa Arsenal alisema: “Hakika, wanahitaji sana No9.
“Sipendi kuweka wachezaji wa watu kwenye madirisha ya usajili, lakini nina uhakika watakuwa wakinusa mtu kama Ivan Toney.”


