Costa Mwezi Mzima Nje!
Football

Winga wa Juventus, Douglas Costa anaripotiwa kuwa atakuwa nje kwa zaidi ya wiki tatu au mwezi mzima baada ya kupata majeraha kwenye ‘enka’ cha mguu na kwenye paja. Nyota huyu …

Soma zaidi
Jokanovic: Ryan Sessegnon Anapewa Mda
Football

Fulham wanampa mda staa  kijana Ryan Sessegnon mwenye umri wa miaka 18 ili aweze kujiboresha na kuendana na mazingira ya Ligi Kuu. Bosi wa Fulham bwana Slavisa Jokanovic anasema staa …

Soma zaidi
Ona Hekima ya Steven Gerrard
Football

Imekuwa nadra sana kwa makocha au mameneja mbalimbali kuonyesha upendo dhidi ya wapinzani wao hasa pale wanapofungwa au kutoa sare. Meneja wa Rangers, Steven Gerald amekuwa tofauti na wengine. Gerald …

Soma zaidi
Mzozo Kibarua cha Maradona!
Football

Baada ya gwiji la soka kutokea nchini Argentina, Diego Maradona kuamua kurudi tena kwenye kabumbu na kuwa kocha mapya yameibuka! Wiki kadhaa nyuma alitambulishwa kwenye klabu inayokipiga daraja la kwanza …

Soma zaidi
Mbio za Usajili Uingereza
Football

Klabu za Manchester United na Arsenal zinamuwinda kwa udi na uvumba mchezaji nafasi ya kiungo Arne Maier wa kati wa kikosi cha chini ya umri wa miaka 21 wa klabu …

Soma zaidi
UEFA Wamefungua Kesi ya Ronaldo
Football

UEFA wamethibitisha kuwa kesi ya Ronaldo imepatiwa meza ya kusikiliza maswala ya kinidhamu juu adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa Ronaldo kwenye gemu dhidi ya Valencia jana. Ronaldo alitolewa kwa kadi …

Soma zaidi
Dada wa CR7: Watalipia Machozi ya CR7
Champions League

Dada wa Cristiano Ronaldo Katie Aveiro amelalamika sana kufuatia kadi nyekundu aliyopewa kaka yake CR7 kwa kusisitiza kuwa haikuwa sawa. Ronaldo alipewa kadi nyekundu jana kwenye gemu dhidi ya Valencia …

Soma zaidi
AC Milan: Yamefanyika Mapinduzi Kikosi Kizima!
Football

Ac Milan wanaripotiwa kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chao kinachoenda kupambana kesho dhidi ya Dudelange kwenye ligi ya EUROPA. Milan anasafiri kwenda Luxembourg kesho akiwa ana mapengo ya Suso, Patrick …

Soma zaidi
Chelsea: Ampadu Amelamba Dili Jipya!
Football

Nyota wa Chelsea mwenye uwezo wa kucheza kama mlinzi na kiungo bwana Ethan Ampadu amekula dili jipya la mkataba wa miaka mitano zaidi katika klabu yake ya Chelsea. Nyota huyu …

Soma zaidi
Umtiti: Kante Ndiyo Komesho la Messi!
Football

Samuel Umtiti ambaye ni mchezaji beki wa taifa la Ufaransa ametoboa ukweli kwamba wachezaji wote wa taifa lao la Ufaransa walikuwa waoga kwenye mtanange dhidi ya taifa la Argentina kwenye …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.