Ndong Kushtakiwa na Klabu Yake!
Klabu ya Sunderland inataka kumfungulia mashtaka mchezaji wao mwenye umri wa miaka 24, Didier Ndong! Wanamtaka awalipe kiasi cha £13.6m mara baada ya kushindwa kuwasili klabuni kwake tangu msimu huu …
Matokeo ya Jana na Ratiba ya Leo
Haya hapa ni matokeo ya mechi za UEFA Nations League: FT Portugal 1 – 0 Italy FT Sweden 2 – 3 Turkey FT Scotland 2 – 0 Albania FT Montenegro …
Spurs Wanapanga Kuivaa Leicester
Imedaiwa na Telegraph kwamba klabu ya soka ya Tottenham Hotspurs inamfuatilia mchezaji beki wa klabu pinzani ya Leicester City, Ben Chilwell. Beki huyu mwenye umri wa iaka 21 kwa sasa …
Faini kwa Serena!
Mkali wa mchezo wa tenisi kutoka nchini Marekani, Serena Williams amepigwa faini ya dola za Kimarekani 17,000 (takribani shilingi milioni 39 za Kitanzania ) kwa vitendo vya utovu wa nidhamu …
AFCON: Msiba Uwanja wa Taifa Madagaska
Mtu mmoja anaripotiwa kufariki dunia wakati wengine 39 wameumia katika uwanja wa taifa wa Madagaska kwenye mechi ya kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika AFCON 2019 kati ya Madagaska na …
Man U: Wamtaka Dyabala Ili Wamuuze Pogba
Chanzo cha habari za michezo cha Footbal Italia kinaripoti kuwa Manchester United wanataka kumtumia Paul Pogba ili kumpata Paulo Dybala. Pogba ambaye anaonekana hana mapenzi ya kuendelea kuwepo Man Utd …
Italia Vs Portugal: Unaielewa BBC ya Italia?
Sio BBC kama ya London! BBC kwa timu ya Italia ni muunganiko wa majina ya mwisho ya mastaa hawa Andrea Belotti, Federico Bernardeschi na Federico Chiesa. Mastaa hawa ni kama …
Liverpool Watemana na Adrien Rabiot!
Liverpool wameamua kujitoa katika kumfukuzia kiungo Mfaransa Adrien Rabiot na kuwaacha Juventus, Milan na Barcelona wakimfukuzia staa huyo kutoka Paris-Saint Germain. Staa huyu mfaranca, mwenye miaka 23 amechomoa kusaini mkataba …
De Zerbi Amesanda kwa Juventus
Kocha wa Sassuolo Roberto De Zerbi amekiri kuwa Juventus ndio wababe wa Italia na Ulaya huku akisisitiza kuwa hiyo haimaanishi kuwa tayari wamewashindwa. Sassuolo wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo …
Sane Apata Mtoto, ni Baada ya Kusepa Kikosini
Winga wa Man City Leroy Sane ametangaza kupata mtoto wa kike ikiwa ni siku moja baada ya kuondoka katika kikosi cha timu ya ya taifa ya Ujerumani. Staa huyu aliripotiwa …

