Ndondi: Myweather Vs Pacquiao Tena!
Floyd Mayweather amesema anarudi ulingoni kuzichapa na Manny Pacquiao. Mabondia hawa walichapana mwaka 2015 mwezi Mei huku Mayweather akishinda kwa kumzidi pointi Pacquiao. Mayweather alitangaza kustaafu akidai hataingiua tena tena …
Guardiola Hataki Kumuachia De Bruyne!
Meneja wa Man City Pep Guardiola anadai dau alilolitaja kwa mchezaji Kelvin De Bruyne lilikuwa ni janja janja ya kusema mchezaji huyo hayupo sokoni kwa sasa. Amesema haya kuondoa mkanganyiko …
Imani ya Klopp Leo
Klabu ya Liverpool inayoongozwa na meneja Jurgen Klopp ina imani kwamba watakuwa imara zaidi wakati wanapokwenda kumenyana na wapinzani wao wakubwa Tottenham ambayo ni mechi ya mapema zaidi leo hii …
Lopetegu Apinga La Liga Kuchezwa Marekani
Kocha wa Real Madrid, Julen Lopetegu amekosoa mpango wa kucheza gemu ya La Liga nchini marekani akidai unapoteza ushindani unaotakiwa. Jumanne Barcelona, Girona na La Liga waliomba ruhusa kwa Shirikisho …
Herrera Hatasepa Porto Januari
Wakala wa Hector Herrera, bwana Gabriel Moraes anasema kuwa staa huyu hataondoka Porto mwezi Januari. Mkataba wake ulikuwa unaisha mwaka 2019, yupo katika orodha ya mastaa ambao watakuwa wachezaji wachezaji …
Majina ya Rashford na Darmian Hayapo UEFA!
Mashetani Wekundu wa Manchester United wametangaza kikosi chao kamili kwa ajili ya mapambano ya michuano mikubwa sana huko barani Ulaya, Champions League ya UEFA. Kwenye orodha ya majina hayo hakuna …
Italia Waua Mwaka Bila Kushinda
Kwa mara ya kwanza tokea mwaka 1959, timu ya taifa ya Italia wanamaliza mwaka bila kushinda gemu yeyote ya ushindani. Ushindi wa mwisho wa timu ya taifa ya Italia ulikuwa …
Juve Watangaza Hasara ya €19m
Klabu ya Juventus wametangaza hasara ya paundi milioni 19 kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018 baada ya kushuka kwa mapato kwa kiasi cha Paundi milioni 58. Ilitarajiwa kuwa klabu hiyo …
Cheryshev Achunguzwa Matumizi ya Madawa
Mchezaji wa Villarreal ambaye yupo kwa mkopo Valencia, Denis Cheryshev yupo chini ya uchunguzi kufuatia madai ya matumizi ya madawa kinyume na taratibu. Staa huyu aliwafungia Urusi magoli 4 wakati wa …
Sunderland Wamtema Rasmi Papy Djilobodji!
Klabu ya Sunderland wamevunja mkataba wa Papy Djilobodji ambaye alijiunga na klabu hiyo kwa ada ya paundi milioni 8. Klabu hiyo inadai sababu ya kuvunja mkataba huo ni Papy kurudi …

