Moto Kuwaka: Uingereza na Hispania!
Football

Timu ya taifa la Hispania imesafiri mpaka dimbani Wembley kumenyana na Waingereza kwenye mchezo wao wa UEFA National League. Uingereza na Hispania hawajawahi kukutana kwenye mchezo wa mashindano tangu mwaka …

Soma zaidi
Sarri Amekutana na Kazi Ngumu Chelsea
Football

Bosi wa Chelsea Mourizio Sarri, anaamini kuwa amekutana na kazi ngumu sana Chelsea. Bosi huyu mwenye umri wa miaka 59, ambaye amewahi pia kuwa bosi wa  Napoli, anadai kuwa kazi …

Soma zaidi
Chelsea Wamtamani Elliot, Mtoto wa Miaka 15
Football

Klabu ya chelsea wameripotiwa kuvutiwa na mtoto machachari Harvey Elliott mwenye umri wa miaka 15 kutoka katika shule ya mpira wa miguu ya vijana pale Fulham. Chelsea wameonyesha kuvutiwa na mchezaji …

Soma zaidi
Klabu Kongwe, Genoa Miaka 125 Leo!
Football

Leo klabu ya Genoa wanasherekea kutimiza miaka 125, Klabu hii ilianzishwa Septemba 7, 1893 ikiwa kama kama timu ya Kriketi na Wakimbiaji, kwa wakati huo upande wa soka ulikuwa ni …

Soma zaidi
Nidhamu Inamtesa Leroy Sane!
Football

Winga wa Man city Leroy Sane mwenye umri wa miaka 22 ameshauriwa kubadili tabia yake ili aweze kupata nafasi na kufanya vizuri. Sane alijiunga na Man City mwaka 2016 akitokea …

Soma zaidi
Ujerumani na Ufaransa; Nani Kutisha Leo?
Football

Ligi ya Mataifa UEFA inaanza kutimua vumbi leo hii na gemu ya kwanza ni kati ya Ufaransa na Ujerumani ambao ni Mabingwa wa Makombe ya Dunia yaliyopita. Kwenye gemu 29 …

Soma zaidi
Jorginho Hasahau Napoli, Anaitamani Serie A
Football

Aliyekuwa kiungo wa Napoli, Jorginho anasema anaikumbuka sana timu yake ya zamani, anaikumbuka seria A na anatumaini siku moja atarudi Serie A akitaja kutua kwa Ronaldo Seria A imekuwa faida …

Soma zaidi
Chelsea: Gilmour Anaota Kukimbiza Duniani
Football

Kinda wa Chelsea Billy Gilmour mwenye miaka 17 anasema anataka kuwa mchezaji bora zaidi Duniani. Gilmour alijiunga na Chelsea akiwa na miaka 16 mwaka 2017 kwenye kikosi cha vijana wa …

Soma zaidi
Sandro Kutua Madrid; Marcelo kwa Juve?
Football

Moja ya klabu kubwa za Hispania, La Liga, Real Madrid ina malengo ya kumtoa mchezaji Marcelo kwa klabu ya soka ya Juventus huko Italia ili wao waweze kumpata Alex Sandro …

Soma zaidi
Suarez Amkaribisha Pogba!
Football

Mchezaji machachari, Luiz Suarez amefunguka na kusema kwamba staa Paul Pogba atakaribishwa sana kule Barcelona, Hispania wakati mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 wa klabu ya soka ya Manchester …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.