Sajili za Palace
Team Talk wanasema kwamba klabu za soka za Crystal Palace, Brighton na Watford zinamsaka sana msakata kabumbu kinda mwenye umri wa miaka 18, Adam Lovatt. Mchezaji huyu anakipiga pale Bostik …
Bale: Hali shwari bila Ronaldo
Nyota wa Real Madrid Gareth Bale anasema hali ni shwari zaidi Real Madrid tangia Ronaldo alivyosepa kwenda Juventus mapema mwezi Julai. Inadaiwa kuondoka kwa Ronaldo katika klabu hiyo kumemfanya jamaa …
Nadal Kuula Kwenye Soka!
Mchezaji wa tenisi maarufu ulimwenguni anayetokea nchini Hispania, Rafael Nadal ambaye ni moja ya mashabiki wakubwa wa klabu ya soka ya Real Madrid anaweza kuula kwenye kabumbu siku za usoni! …
Ubabe wa Costa Wamuweka Matatani
Mshambuliaji wa Juventus, Douglas Costa anajikuta yuko matatani kufuatia tabia aliyoionyesha kwenye gemu dhidi ya Sassuolo Jumapili ambayo Juve walishinda bao 2-1. Douglas alilmletea ubabe Federico Di Francesco baada ya …
Champions League Imekujia!
Ule msimu bomba wa kabumbu maarufu kama usiku wa Ulaya, UEFA Champions League unarudi tena juma hili! Siku ya Jumanne na Jumatano kazi inaanza dimbani! Gemu tamu Mitanange ambayo inatolewa …
Macho ya Guardiola…
Chanzo cha habari cha Star siku ya jana kimeripoti kwamba Pep Guardiola ambaye ni kocha wa klabu ya soka ya Manchester City atakuwa anawawinda kwa ukaribu kabisa wachezaji wawili wa …
PSG: 4-2-3-1 Bomu kwa Liverpool
Mabingwa hawa wa ufaransa wanaonekana mambo si mambo katika League 1, Lakini Bosi wao mpya bwana Thomas Tuchel anajua kuwa Champions League ndio kipaumbele cha klabu hiyo. Tangia klabu hiyo …
Champions League: Kimbembe Valencia Vs Juve
Ligi ya mabingwa sasa inaanza kuwa ya moto kwenye hatua za makundi! Ni Rodrigo au Ronaldo? Valencia wanamkaribisha Juventus Jumatano tarehe 19 Septemba kwenye dimba la Mestalla katika ufunguzi wa …
Timu ya Beckham Inamvizia Messi
Taarifa zinadai kuwa staa wa zamani wa soka, David Bekham anamtazamia staa wa Barcelona Lionel Messi kwa ajili ya timu yake mpya Inter Miami inapokwenda kuanza rasmi kucheza katik ligi …
Maurizio Sarri Avunja Historia!
Boss wa Chelsea Maurizio Sarri ameingia katika historia kwa kuwa kuwa mmoja kati ya makocha 4 katika Premier League kushinda gemu zake tano za mwanzo, Pia amekuwa muitalia wa pili …

