Kesi ya Madrid na Inter Kuhusu Modric Imeisha!
Kesi iliyokuwa katika mezani ya FIFA kuhusu utaratibu uliotumika na Inter kumfukuzia Luka Modric inadaiwa kufungwa. Kwa mujibu wa chanzo cha habari za michezo cha kiitaliano Calciomercato madai hayo yamefungwa …
FIFA:3 Bora ni Ronaldo, Modric na Salah
Modric na Ronaldo wamekutana tena katika kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa FIFA. Ronaldo ambaye alikosa tuzo ya mchezaji bora UEFA ambayo ilienda kwa Modric, ameingia katika tatu bora na mpinzani …
Jeuri ya Mourinho Baada ya Ushindi
Mourinho alitoka akitabasamu baada ya kupata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya mwenyeji wake Burnley kwenye dimba la Turf Moor. Macho ya wadau wengi wa soka yalikuwa yakimtazama Mourinho kujua …
Bosi wa Barca Amewapiga Mkwara Inter Millan
Mkurugenzi wa Barcelona bwana Ariedo Braida amewapiga mkwara Inter Millan kuwa wasitegemee mteremko wowote katika kundi lao kwenye Ligi ya mabingwa Ulaya. Inter Millan na Barcelona wamepangwa katika kundi moja …
Sekeseke la Martial na United!
Klabu ya soka ya Manchester United haijakubaliana kuhusiana na mkataba mpya wa kumzuia mchezaji mshambuliaji wake, Anthony Martial mwenye umri wa miaka 22 kwa sasa kusepa klabuni hapo iliyopo Old …
Eden Hazard: Nafurahia Soka Chini ya Sarri
Kiungo wa Chelsea, Eden Hazard anasema anafurahia kupiga soka katika timu yake chini ya uongozi wa Maurizio Sarri. Hazard alijiunga na Chelsea Julai 2012 akiwa antokea LOSC lille, anamsifu sana …
Huu Unaweza Kuwa Mwisho wa Mourinho?
Meneja wa Man United, Jose Mourinho ndio anayegonga vichwa vya habari za soka kwa sasa. Mourinho ambaye anadaiwa kuwa kikaangoni tokea alipopoteza gemu dhidi ya Briton, na kukosa bahati zaidi …
Mane na Firmino Waipa Ushindi Liverpool
Liverpool wameendeleza ubabe kwa kuwatandika Leicester wakiwa kwao goli 2-1. Licha ya Leicester kuonekana kutawala mchezo katika kipindi cha kwanza, wakali hawa wameshindwa kuzuia wababe wao Liverpool kuondoka na ushindi …
Mike Perry Atamba atamuua Donald Cerrone
Mpiganaji kijana, Mike Perry ambaye ana umri wa miaka 26 ameahidi ‘kuua’ siku atakayokutana ulingoni na Donald Cerrone. Mike anayefahamika kwa jina la utani kama ‘Platinum’ anatarajiwa kuingia ulingoni kuzichapa …
Indonesia Watamania Mashindano ya Olympic
Indonesia wanatamani mashindano ya Olympic yafanyike nchini mwao. Nchi hii ambayo kwa sasa inaendesha mashindano makubwa kabisa ya michezo Asia wanatarajia kuingia katika kuwania nafasi ya kufanya mashindano hayo. Raisi …

