Barca: Pogba, Rabiot au De Jong?
Football

Barcelona bado wana matumaini kuwa watawasajili wachezaji wawili kati ya watatu wanao wafukuzia ambao ni Pogba, Rabiot na De Jong kabla ya ijumaa. Dirisha linakaribia kufunga ijumaa ya tarehe 31 …

Soma zaidi
Frenkie de Jong: Siendi Tena Barca
Champions League

Staa wa Ajax Frenkie de Jong  anasema hana mpango tena wa kwenda Barcelona katika msimu huu. Jong ambaye alifikiria kuwa huenda angejiunga na Barca, amekacha mtazamo wake na kusisitiza kuwa hawezi kuondoka …

Soma zaidi
Johanna Konta Nje Us Open 2018
Football

Bingwa wa kike wa Tenisi kutoka Uingereza, Johanna Konta ametolewa katika michuano ya Us Open baada ya kuchapwa kwa seti ya  6-2 6-2 na Caroline Garcia. Michuano hii ambayo huwahusisha mabingwa …

Soma zaidi
Danny Rose Apambana Kubaki Spurs
Football

Mchezaji wa Tottenham Danny Rose anapambana kuendelea kuwepo Spurs kutokana na mafanikio ya timu hiyo. Danny alikuwa anatarajiwa kujiunga kwa mkopo Paris Saint-Germain au Marseille. Danny sasa anakataa dili la …

Soma zaidi
Sheyi Ojo Kuiacha Liverpool
Football

Winga wa liverpool Shey Ojo yuko mbioni kusepa Liverpool na Kujiunga na klabu ya ufaransa ya Stade Reims kwa kipindi kilichobakia katika msimu. Winga huyu mwenye umri wa miaka 21, …

Soma zaidi
Mignolet: Sijui Hatma Yangu Hapa!
Football

Golikipa wa klabu ya soka ya Liverpool, Simon Mignolet anasema kwamba anashangazwa sana na suala la klabu hiyo ya Anfield kumpa ruhusa golikipa Loris Karius kujiunga na klabu ya soka …

Soma zaidi
Woods Aongelea Uhusiano na Trump
Football

Bingwa wa mchezo wa gofu, Tiger Woods amegusia kuhusu uhusiano wake na raisi wa Marekani bwana Donarld Trump wakati akifanyiwa mahojiano huko New Jersey. Woods alizungumzia ukaribu wake na Trump …

Soma zaidi
Ronaldo Angejifunza kwa Messi
Football

Aliyekuwa kiungo wa Real Madrid Rafael Van Der Vaart anasema Ronaldo angejifunza kutoka kwa Messi na kubakia Real Madrid. Ronaldo ambaye aliondoka Real na kujiunga na Juventus alikuwa mchezaji muhimu sana …

Soma zaidi
Uso kwa Uso Mourinho na Pochettino Leo
Football

Man utd anamkaribisha Tottenham wa Pochettino pale Old Trafford, wote wamecheza mechi mbili mpaka sasa. Wakati Spurs akianza vizuri kwa kushinda mechi zake zote dhidi ya Newcastle United na Fulham, …

Soma zaidi
Mario Mandzukic Achomoa Kwenda Man Utd
Football

Straika wa Juventus Mario Mandzukic amechomoa ofa ya kuhama Juventus na kujiunga na mashetani wekundu. Mwanzo ililipotiwa kuwa Mourinho alikuwa anamfukuzia straika huyo kwa mbinde. Mario Mandzukic ambaye ana umri wa miaka …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.