Guerrero Ahukumiwa Kutocheza
Football

Paolo Guerrero kwa sasa hataweza kuichezea timu yake mpya ya International kutoka Brazili kutokana na hukumu aliyopewa inayoimzuia kucheza soka kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Awali mkali huyu …

Soma zaidi
Ofa ya Betis Kwa Man City
Football

Ripoti zinadai kuwa Real Betis wametoa ofa rasmi kwa Manchester city kumchukua Oleksandr Zinchenko kwa mkopo huku wakifikiria kumchukua moja kwa moja. Chanzo cha habari cha kihispania Mundo Deportivo kinaripoti kuwa …

Soma zaidi
Maguire Kusalia Leicester
Football

Mchezaji beki wa Leicester City, Harry Maguire yupo karibuni kutia wino kwenye mkataba mpya klabuni kwake baada ya dirisha la usajili kufungwa mwezi huu wakati iliposemekeana kuwa alikuwa mbioni kuondoka …

Soma zaidi
Washindani wa Kaka Ballon d’Or
Football

Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wameitawala tuzo hii kwa mda sasa. Mda unaenda haraka na kukaribia kupatikana mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or. Kaka, staa ambaye amewahi kuwa Real madrid …

Soma zaidi
Madrid kulipa £35m kwa Rodriguez
Football

Real Madrid wameripotiwa kuwa wapo katika mchakato wa kufikiria uwezekano wa kufanya malipo ya euro milioni 35 kwa ajili ya kumrududisha James Rodriguez ambaye yupo kwa mkopo Bayern Munich. Mabingwa …

Soma zaidi
Kompany Kuongeza Mda Manchester City
Football

Kapteni wa Manchester City  Vincent Kompany  hafikirii kuiacha ligi ya Primier kwa sasa, anasisitiza hata katika umri wa miaka 32 bado anakuwa na uwezo wa kucheza kwa kiwango kikubwa. Kwa sasa …

Soma zaidi
FIFA: Marin Miaka 4 kwa Rushwa
Football

Aliyekuwa mkuu wa chama cha mpira wa miguu nchini Brazil 2012-2015 bwana Jose Maria Marin amehukumiwa jela miaka 4 baada ya kupatikana na hatia ya rushwa. Mkuu huyu mwenye umri wa …

Soma zaidi
Man City: Bravo Apata Mbadala
Football

Manchester City wamemrudisha Aro Muric mwenye miaka 19, aliyekuwa  NAC Breda kwa mkopo kutokana na jeraha la Bravo ambaye anahofiwa kuwa jeraha lake litaendelea kuwa kikwazo. Bravo ambaye alipata jeraha …

Soma zaidi
Ronaldo: “Asante Cuadrado”
Champions League

Cristiano Ronaldo alikuwa anafikiria ruhusa kutoka kwa Juan Cuadrado kabla ya kuchukua jezi namba 7 pale juventus. Jezi hii ni jezi ninayoipenda zaidi, anasema Ronaldo ambaye alihamia timu hiyo mwezi uliopita …

Soma zaidi
Mwanaspoti wa Kike Tajiri Zaidi
Football

Serena williams anachukua nafasi ya kwanza kwa wanaspoti wa kike wenye utajiri zaidi. Serena Williams ambaye ni bingwa mara 23 wa Grand Slam anaripotiwa  kuwa wa kwanza kwa mastaa wa …

Soma zaidi
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.