Man City: Bravo Apata Mbadala

Manchester City wamemrudisha Aro Muric mwenye miaka 19, aliyekuwa  NAC Breda kwa mkopo kutokana na jeraha la Bravo ambaye anahofiwa kuwa jeraha lake litaendelea kuwa kikwazo. Bravo ambaye alipata jeraha kwenye sehemu ya chini, nyuma ya mguu wake wakati akiwa mazoezini anatarajiwa kusafiri kwenda Barcelona leo kwa ajili ya vipimo zaidi.

Bravo mwenye umri wa miaka 35 aliposti katika ukurasa wake wa instagram akizungumza kwa hisia juu ya kurudi kwake huku akisisitiza kuwa yeye huangalia zaidi upande chanya wa mambo, na namna ujasiri unavyohitajika kila mahali.

Golia anayetegemewa zaidi baada ya Bravo kupata jeraha ni Ederson, Lakini Muric ambaye ameonekana mara moja mchezoni kule NAC Breda alikokuwa kwa mkopo ataungana na Grimshaw ambaye kumpa nafasi pep Guardiola kuchgagua.

2 Komentara

    Pole sana bravo

    Jibu

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.