Maguire Kusalia Leicester

Mchezaji beki wa Leicester City, Harry Maguire yupo karibuni kutia wino kwenye mkataba mpya klabuni kwake baada ya dirisha la usajili kufungwa mwezi huu wakati iliposemekeana kuwa alikuwa mbioni kuondoka kwa Mbweha hao.

Kwa sasa Maguire ana umri wa miaka 25 na alikuwa analipwa mshahara wa paundi 45,000 kwa juma hapo Leicester lakini wakati huu Leicester wanataka kumuongezea mpaka kiasi cha paundi 75,000 kwa juma ili wamshawishi mlinzi huyo abakie klabuni hapo.

2 Komentara

    Awez kubakia hapo sababu kiwango chake kipo juu

    Jibu

    Hatafute timu kubwa beki kitasa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.