Nafasi ya Wazi kwa Chelsea
Klabu ya soka ya Chelsea wanamsaka mtu wa kuchukua nafasi ya Mkurugenzi wa Uchezaji, Michael Emenalo klabuni hapo kwa mujibu wa Telegraph. Nani wanawaniwa? Imesemekana kuwa wakurugenzi wa kiufundi wa …
Ofa ya Mbappe Ilikataliwa na PSG
Klabu ya soka ya Paris St-Germain waligomea kabisa ofa ya klabu ya Manchester United kwa ajili ya mshambuliaji wao Kylian Mbappe ambaye ni raia wa Ufaransa kwa mujibu wa Mirror. …
Sanchez: Sajilini Wachezaji Wakubwa
Mchezaji winga wa klabu ya Manchester United, Alexis Sanchez ameitaka klabu yake hiyo kufanya sajili za wachezaji wakubwa na wenye uzoefu wa soka pekee. Winga huyu ametoa msisitizo kuwa Manchester …
Nyanda wa Bei Mbaya!
Chelsea wamekamilisha kila kitu kumnasa nyanda wa Athletic Bilbao, Kepa Arrizabalaga kwa ada ya £71m. Hii imevunja rekodi ya dunia kwa usajili wa makipa. Hawa hapa ni magolikipa 5 ghali …
Karibu Mgeni kwa Sarri ni Maumivu Tu!
Hapo jana Sergio Aguero aliweza kupachika magoli mawili ambayo yalikuwa ni ya 200 na 201 kwake ndani ya kikosi cha klabu ya soka ya Manchester City na ikawa ni msaada …
Ujerumani Inamngoja Luke Shaw!
Luke Shaw ambaye ni mchezaji wa safu ya ulinzi akiwa na umri wa miaka 23 kwa sasa anafurahia sana kuuona mwaka wake wa mwisho wa mkataba wake klabuni Manchester United. …
Wayne Rooney Aanza kwa Maumivu!
Wayne Rooney ambaye ni mchezaji mshambuliaji wa zamani wa klabu ya soka ya Manchester United na Everton ametupia bao lake la kwanza akiwa na klabu yake mpya ya DC United! …
Sajili za Man City Hizi…
Hawa ni wachezaji wapya ambao wamesajiliwa na klabu bingwa ya Manchester City msimu huu wakati wa majira ya usajili wa kiangazi: Riyad Mahrez (Leicester, 68m euros), Philippe Sandler (Zwolle, 2.5m …
Messi Kuungana na Samatta
Mchezaji mshambuliaji wa Tanzania na KRC Genk, Mbwana Ally Samatta yupo katika majadiliano na Levante ya huko Ligi Kuu ya Hispania ili kuona namna wanavyoweza kukamilisha mpango wa yeye kuhamia …
Usajili: Mourinho Anataka Beki wa Kati Mkali!
Jose Mourinho anatakiwa kumpiga bei beki mmoja wa kati ili asajili wakali wengine kwenye timu yake ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Amesema kuwa anataka msimu ujao awe …

