Klabu ya soka ya Paris St-Germain waligomea kabisa ofa ya klabu ya Manchester United kwa ajili ya mshambuliaji wao Kylian Mbappe ambaye ni raia wa Ufaransa kwa mujibu wa Mirror.
Pia, imeelezwa kuwa PSG wanataka kumsaini mchezaji winga wa Barcelona, Ousmane Dembele na kumuunganisha na meneja Thomas Tuchel ambaye alimsimamia mchezaji huyo wakati wakiwa Borussia Dortmund huko Ujerumani.


isha
Wametisha kukataa ofa hiyo
Lydia Emmanuel Magoti
Safiii sana