Mchezaji winga wa klabu ya Manchester United, Alexis Sanchez ameitaka klabu yake hiyo kufanya sajili za wachezaji wakubwa na wenye uzoefu wa soka pekee.
Winga huyu ametoa msisitizo kuwa Manchester United wanatakiwa wasaini wachezaji wenye kiwango kama cha Arturo Vidal na si vinginevyo.
Unakubaliana naye ama haukubaliani naye katika hili?



Povel
Sanchez jeshii