Chelsea wamekamilisha kila kitu kumnasa nyanda wa Athletic Bilbao, Kepa Arrizabalaga kwa ada ya £71m. Hii imevunja rekodi ya dunia kwa usajili wa makipa.
Hawa hapa ni magolikipa 5 ghali zaidi dunia kabla ya Kepa aliyehamia Chelsea:
1. Allison Becker (As Roma – Liverpool) £65m.
1. Ederson (Benfica – Man City) £35m.
2. Gianluigi Buffon (Parma – Juventus) £32.6m.
3. Jordan Pickford (Sunderland – Everton) £30m.
4. Bernd Lano (Bayern Leverkusen – Arsenal) £22m.

