Klabu ya soka ya Chelsea wanamsaka mtu wa kuchukua nafasi ya Mkurugenzi wa Uchezaji, Michael Emenalo klabuni hapo kwa mujibu wa Telegraph.
Nani wanawaniwa?
Imesemekana kuwa wakurugenzi wa kiufundi wa Chama cha Soka cha Uingereza (FA) ambao ni Dan Ashworth, Juliano Belletti, Michael Ballack, na mkurugenzi wa uchezaji wa Roma, Monchi ni miongoni mwa wanaoangaziwa kuchukua nafasi hiyo.


Furahav
Habari njema.
Povel
Habar njema