Tottenham Hotspur wametangaza rasmi kuwa gemu yao ya mwanzo Katika ligi ya mabingwa ulaya itafanyika katika uwanja wa Wembley kufuatia mazungumzo baina yao na UEFA kukamilika.
Mwazoni klabu hiyo ilidai kuahirisha ufunguzi wa uwanja wake mpya kutokana na sababu za kiusalama wakati mechi zao mbili za nyumbani zinazofuata katika ‘primier league’ zikipangwa kuchezwa kuchezwa katikka uwanja wa taifa.
kwa sasa Tottenham Hotspur wamethibitisha kuwa mechi mbili zijazo za nyumani kufanyika katika Uwanja huo ambao unauwezo wa kubeba watu 90,000. uwanja huo unatarajiwa kutumika kwa mechi zinazofuata kati ya Liverpool na Cardiff City huku wakiwa hawajathibitisha katika taarifa yao kama mechi zao zote zitachezwa katika uwanja huo.


Furahav
Hongera sana.