Liverpool Ilivyomshitaki Salah; Dimbani Leo!

Ilikuwa kama utani pale klabu ya Liverpool ilipoonesha kuwa tofauti sana na huku kwetu mara baada ya kumshitaki mshambuliaji wake, Mohamed Salah baada ya kuendesha gari wakati anachati kwa simu yake ya mkononi!

Ilikuwaje?
Mo Salah alirekodiwa na baadhi ya mashabiki wa Liverpool akiwa katika foleni ambapo baadhi ya mashabiki hao walitaka kuzungumza naye ila yeye hakufungua kioo kabisa.
Akakataa na kuendelea kuchati huku akisogea taratibu na baada ya video hiyo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii klabu yake ya Liverpool ikaripoti polisi juu ya tabia hiyo ya kuendesha huku anatumia simu yake!

Dau Kubwa Kuwatoka Newcastle!

Jeshi la Polisi jijini Liverpool, Uingereza likaanza kulifanyia uchunguzi sakata lake hilo! Leo hii Liverpool inasafiri kwenda kuumana na Crystal Palace, unaweka wapi karata yako?

2 Komentara

    Livepool ubaya huo

    Jibu

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.