Wayne Rooney ambaye ni mchezaji mshambuliaji wa zamani wa klabu ya soka ya Manchester United na Everton ametupia bao lake la kwanza akiwa na klabu yake mpya ya DC United!
Rooney alivunjika pua wakati akijaribu kuzuia mpira kwenye ushindi wa 2-1 wakicheza dhidi ya Colorado Rapids kwenye gemu za ligi ya MLS.
Povel
Duh nn tena