Ulijua Hii? Ubelgiji Imetengeneza Rekodi Yake!
Hapo jana usiku mara baada ya Ubelgiji kuwatwanga Brazil kwa magoli 2-1 wamefanikiwa kuingia nusu fainali na inakuwa ni mara ya pili kwao kufikia hatua kama hii. Jikumbushe Kwa mara …
Manchester United: Ratiba ya Pre-season 2018/19
Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Manchester United kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Manchester United / Pre-season 2018/19 20-7-2018/ CF America vs Man …
PSG Wanamtazamia Kante
Inadaiwa kwamba klabu ya huko Ufaransa ya Paris St-Germain ina lengo la kumnasa mchezaji kiungo wa kati wa nchini Ufaransa na Chelsea, N’Golo Kante. Wanamtaka msimu huu ambapo inasemekana kwamba …
Sweden Watamtoa Switzerland Leo?
Hatutegemei kwamba kocha Vladimir Petkovic akiwa na mchezaji wake staa Xherdan Shaqiri wataruhusu kuchezea kichapo mbele ya Sweden hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia mwaka huu 2018 inayoendelea kule …
Usajili wa Chelsea
Wanabluu wa Chelsea wapo tayari kufanya majadiliano ili waweze kubadilishana mshambuliaji Alvaro Morata wa Hispania. Wanataka mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 25 arejee klabuni kwake kwa zamani Juventus. Ikiwa …
Bonucci na Manchester United; Courtois na Madrid!
Inadaiwa kuwa huenda klabu ya Manchester United ikamnasa mchezaji beki Leonardo Bonucci wa AC Milan. Inatokana na timu hiyo kufungiwa kushiriki mashindano ya Ulaya kwa kesi ya masuala ya fair …
Mserbia Savic Huenda Akasajiliwa Old Trafford
Kwa mujibu wa chanzo cha habari za michezo cha Express kinachoripoti kuwa mchezaji kiungo wa kati wa taifa la Serbia, Sergej Milinkovic-Savic inadaiwa kuwa atahamia kwa Mashetani Wekundu wa Old …
Fellaini Kusalia Manchester United
Mchezaji Marouane Feallain ambaye ni kiungo wa klabu ya soka ya Manchester United ameongeza mkataba wake kwa muda wa miaka miwili ili kuendelea kucheza klabuni hapo. Hapo mwanzo ilielezwa kuwa …
Real Madrid Kuishinda Chelsea?
Klabu ya soka ya Chelsea inakaribia kuikimbiza kabisa Real Madrid kwenye hekaheka za kumsajili mchezaji nyanda wa Roma, Alisson! Hii ni katika mkataba unaomthamini mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri …
Iran Atachomoka kwa Ureno Leo?
Uwanjani leo kuna jumla ya mechi nne kwenye Kombe la Dunia na kocha Carlos Queiroz atakuwa akikiongoza kikosi chake katika kusaka taji hilo na mechi yao leo ni dhidi ya …

